Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni kipenzi cha moyo wangu.mimi je?
Ulijuaje!! Cha hukohuko.kibopa gani kina sheria kali hivi.... kibopa cha Makete ama?
Kwakweli wizi siujui kabisaaa.[emoji23] [emoji23] Hivi mdogo wangu utaacha lini wizi?
Uzee,majukumu.watu wamepotea aseeeh... nikiingia huku nakutana na ID mpya tu.
Njoo tu tuzeeshane.kweli... muda wa kutype haupo
Sikuwezi kwakweli.utaniweza?
Hata watano poa tu.nitaongeza wa pili
Unaongelea nini mume wangu.watu watanionaje mimi
nitaficha wapi sura yangu
aibu tu najionea hapa