Niahidi kama utatulia tuUnaongelea nini mume wangu.
Nimetulia mpenzi.Niahidi kama utatulia tu
ngoja nikufungulieSijui na mimi lini nitafunguliwa Uzi?
Hujambo mpenzi?koh koh
Khantweeeeeee!!!!!!sijambo mama.... niitie khantwe basi
Huna chako my kaka, jipange tu.hiki kibopa kimejikakamaa kweli.
Hahaha acha ujingakibopa gani kina sheria kali hivi.... kibopa cha Makete ama?
Sio kwa kupotea huko my dearDooh ngoja nisome comments kwanza
Ulivyo na karoho kabaya hukutaka hata kunitafutaSio kwa kupotea huko my dear
Last time unakumbuka nilikwambiaje? Nilikuomba unicheck, otherwise ningeshakutafuta mbonaUlivyo na karoho kabaya hukutaka hata kunitafuta
Last time unakumbuka nilikwambiaje? Nilikuomba unicheck, otherwise ningeshakutafuta mbona
Haha ushaanza ukivuruge wako. Kacheck pm yakoLast time ya lini bwana
Jf ya siku hizi mbona haina pmHaha ushaanza ukivuruge wako. Kacheck pm yako
Uliolewa??Jf ya siku hizi mbona haina pm
Sijaolewa. Kama vipi jitolee tu unioe bossUliolewa??