Kheri James: Kumtukana Rais sasa basi

Kwahiyo hutaki amjibu mpinzani wake ambaye kila siku anatukana watu?
Mimi toka nifuatilie kampeni za TL sijawahi ona akitukana zaidi kuongea ukweli ukithibitishwa na wananchi wanaomsikiliza.Tatizo CCM mmejawa na chuki zisizo na msingi.Hii itapelekea hata msiojulikana mjulikane sasa !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…