Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu dogo huenda hana akili timamu
Mimi toka nifuatilie kampeni za TL sijawahi ona akitukana zaidi kuongea ukweli ukithibitishwa na wananchi wanaomsikiliza.Tatizo CCM mmejawa na chuki zisizo na msingi.Hii itapelekea hata msiojulikana mjulikane sasa !Kwahiyo hutaki amjibu mpinzani wake ambaye kila siku anatukana watu?
Huyu bwana yupo?
Tusalimie sana mwambie tunayamiss yale majigambo
Mtu mshamba madaraka ayamfaiTusalimie sana mwambie tunayamiss yale majigambo
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 mwakani uchaguzi mkuu, I hope hatarejeaTusalimie sana mwambie tunayamiss yale majigambo
Hata kura 5 hapati[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] mwakani uchaguzi mkuu, I hope hatarejea
Alikutana na wapi?..Raisi kutukana mama zetu, shangazi zetu, na dada zetu, sawa. Si ndio?!