Kheri James: Kumtukana Rais sasa basi

Kheri James: Kumtukana Rais sasa basi

👊🏽👊🏽👊🏽 Ahsante sana Mkuu. Wasitutishe hawa wahuni wa maccm.

..Raisi kutukana mama zetu, shangazi zetu, na dada zetu, sawa. Si ndio?!
 
Kwani huyo anayesema 'wakimugusa tu moto utakaowaka hamuna atakayeweza kuuzima' alikuwa anamtisha nani? Huyo anayesema 'mawakala wa chama chake watakapokuwa wanaenda kuapishwa kwa msimamizi wa uchaguzi wasindikizwe na umati wote uliohudhuria kwenye mkutano wake pale Ifakara' alikuwa anamtisha nani? Na kwamba umati wote huo utakapoenda kupiga kura hiyo tarehe 28 Oct 2020 ubaki hapo hapo kwenye kituo cha kupigia kura na kuhesabu kura hizo, alikuwa anamtisha nani? Na akasema maeneo yote nchi nzima wafanye hivyo, alikuwa anamtisha nani?

Arudi tu kwao Ubeligiji akapambane na covid 19, asituvurugie amani yetu. Tanzania ni kitovu cha amani Afrika.
Nyinyi mwaringia wale askari lkn marahii kama mwaweza tupambanenj sisi tuu askari wawe watazamaji tu wao

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Hapo ndipo patamu. Ukweli wote utakaposemwa kuhusu yeye na chama chake hapatakalika. Siri zote za chama hicho zitakapowekwa hadharani itakuwa ni janga kubwa kwenye chama hicho. Sauti na video za waliopanga mashambulizi yake sept 2017 zikiwekwa hadharani itamlazimu asitishe hata hizo kampeni zake kwani ni watu alio nao karibu! Msitake tufike huko. Yaliyopita si ndwele tugange tu yajayo kwa ustaarabu na kuheshimiana. Tarehe 28 Okt 2020 yule wa kuchechemea ataendelea kuchechemea na yule wa kuzimiabataendelea tu kuzimia. Cha mhimu tujiepushe sote kuvuruga amani katika kipindi hichi cha silly season!
CCM hii hii ndo muwe na ushahidi msiweke wazi kwa wapinzani wenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!! Kaazi kwelikweli!!
 
Shida ya watu wa CCM ni kuamini wao ndo kakundi kenye hatimiliki ya nchi hii!! Wanaishia kujificha kwenye mambo ya ovyo,mara wapinzani wanataka kuharibu amani ya nchi yetu,mara mabeberu[emoji23][emoji23][emoji23],hivi kuna watu hawapendi amani ya hii nchi kama CCM!?
CCM ni woga,wanapandikiza ujinga kwenye vichwa vya watanzania wengi ambao wako vijijini na wale wenye uwezo mdogo wa kuchambua mambo,wanapoona kuna mtu anajaribu kuwafumbua macho watu hao lazima watetemeke tu.
 
Kuambiwa umejenga uwanja kijijini ndio matusi?kuiba michango ya wahanga ndio matusi?kweli kijani kuna vihiyo kwelikweli [emoji3]

Weka hapa list ya matusi aliyotukanwa rais wenu


Chama Chochote kinachoendekeza Ukabila hakifai kabisa .
Kuna mgombea anayeendekeza Siasa za ukabila na udini kwenye Taifa hili.
Ukiwajaza watu wa nyumbani kwako kwenye kila idara ni jambo la khatari sana kwenye Taifa lenye Katiba ya kifalme mana ndugu wanakua na Uchungu na mfalme sio kwa sababu ni mfalme bali kwa sababu ni ndugu wa damu.

Ndio maana madikteta wote wana kawaida ya kutumia Ukabila au Udini kuwanyazisha wapinzani wao.

Yani Dikteta yeyote ili afanikiwe kuwaangamiza wapinzani wake ni lazima aangalie kama ana nguvu ya kikabila basi anawajaza watu wa kabila lake kwenye vyombo vya dola ili aweze kutekeleza mbinu zake za kuwateketeza wapinzani wake kwa kuwapoteza ama kwa kuwaua kwa risasi au kwa namna nyingine.

Katiba yetu haifai kabisa kuwa na kiongozi anayejinasibu kikabila au kidini mana ni Katiba yetu inampa mkuu wa nchi mamlaka makubwa sana .
Kwa Mfano Kheri hata akiamua kutembea barabarani na Panga na kumkata kata kata yeyote asiyemtaka au anayeona ni adui wa ndugu yake ,hakuna mtu atakayeweza kumkamata na kumfunga kamba au hata pingu kwa hofu ya Ndugu Mfalme kama atakaa kimya bila kulaani kitendo hicho.
Akifikishwa mahakamani napo mahakimu wataogopa kutoa hukumu ya kumnyonga kumhofia mfalme.
Itatumila kila Mbinu na inawezekana mtu anayekatwa panga na kufa anaweza kusingiziwa kuwa alijarubu kumdhuru ndugu kama huyo wa mfalme. Aliposhindwa aliamua kujiua mwenyewe. Hofu ya wasimamia haki kuigusa familia ya Mfalme ni kubwa sana mana Katiba inampa mamlaka yote ya duniani mfalme.
Mfano RC yule alipokua anakwenda kujaribu kuwamaliza watangazaji wa TV fulani .Waziri alipojarubu kujua ukweli wa uvamizi ule alitimuliwa na kutishiwa kwa Bastola.
Watu wengine wote walikaa kimya.

Hivyo wale wanaoambiwa kuwa wanamtukana mgombea ambaye ni ndugu wa Bwana Kheri wawe makini mana sio tu anapata jeuri ya kufanya chochote kwa yeyote lakini pia hatanii wala haongei kisiasa bali kifamilia . Yaani Kheri anaona ndugu yake amepoteza mvuto ghafla baada ya wananchi kuonyeshwa upande wa pili wa shilingi.


Tuepuke kujaza ndugu kwenye ofisi za umma hasa zenye kusimamia haki sawa kwa wote.

Maendeleo ni kwa wale walionichagua tu.Wengine mtajuata .
 
Sasa mo mgombea sio rais
Astahili ndio haki
 
Na yeye atashikwa pabaya zaidi. Jino kwa jino hadi itambidi arudi kwao Ubeligiji akaendelee na lockdown ya covid 19.
Nyie ndio mtaikimbia nchi msitishe watu nyie,mnategemea polisi,hamna lolote nyie,msiambiwe ukweli na bado mbwa nyie
 
Kwani huyo anayesema 'wakimugusa tu moto utakaowaka hamuna atakayeweza kuuzima' alikuwa anamtisha nani? Huyo anayesema 'mawakala wa chama chake watakapokuwa wanaenda kuapishwa kwa msimamizi wa uchaguzi wasindikizwe na umati wote uliohudhuria kwenye mkutano wake pale Ifakara' alikuwa anamtisha nani? Na kwamba umati wote huo utakapoenda kupiga kura hiyo tarehe 28 Oct 2020 ubaki hapo hapo kwenye kituo cha kupigia kura na kuhesabu kura hizo, alikuwa anamtisha nani? Na akasema maeneo yote nchi nzima wafanye hivyo, alikuwa anamtisha nani?

Arudi tu kwao Ubeligiji akapambane na covid 19, asituvurugie amani yetu. Tanzania ni kitovu cha amani Afrika.
Huna amani wewe zaidi ya uoga na upoyoyo amani mnaburuzwa kila kitu na mwenyekiti wenu
 
Back
Top Bottom