Kheri James: Kumtukana Rais sasa basi

Kheri James: Kumtukana Rais sasa basi

Kwa nini anawatuma? Aje mwenyewe Bwana Kheri James hapa Jamii forum atueleze ni wapi YESU wa CHATO katukanwa.......Hakiweza kuthibitsha nitahamasisha wenzangu kumchagua YESU wa CHATO
 
Kama mtu amemtukana Rais ziachie mamlaka zinazohusika, Halafu Bora angeomgea amevaa nguo za kiaraia lkn kavaa nguo za chama ambacho anamtetea ndio bosi wake km mwenyekiti wa chama. Huo sio na Ni ushabiki wa kisiasa

Polisi kamateni huyo muwekeni ndani kwasababu anatishia kujaribu kuharibu amani ya nchi hii.
 
Hili choko eti linasema linajua uhuni yaaani ccm bila polisi ni upepo,hili hata mimi nikiachiwa nalipa adabu,eti linatishia mtaona kifatacho ITV yaani wewe una nini wewe na zaidi ya uchoko tuu
Anajua polisi na jeshi watakuwa upande wao!
 
Wanchi wameshaamua kuwa nae katika miaka mingine mitano na huku zanzibar ni Mwinyi
1600002990899.png
 
Back
Top Bottom