Babati huyu alikuwa anauwezo wa kuingia Kamati Kuu CCM chombo chenye kutoa maamuzi magumu, kutembea nchi nzima kuhamasisha chama leo hawezi kutoka nje ya Ubungo bila kibali cha MakallaKwa Mashinji ni demotion sababu kwanza alikuwa analamba 12M mshahara sasa anarudi kwenye 4M, Heri James ni promotion
Hiyo Wilaya Wapinzani wakianza TANZIA basi tutajua Sindano za Sumu zinahusikaKheri James
Nafasi za mawaziri na manaibu zimejaaa labda awamu nyingineUteuzi wa komredi Kheri James Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM Taifa (UVCCM) na Dr. Mashinji kuwa wakuu wa wilaya hii ni demotion( Kushushwa Vyeo), kwani hawa walikuwa viongozi wa juu na sasa wanakwenda kuwajibika kwa wakuu wa mikoa Amos Makala Dar es Salaam na Alli Hapi, Mara.
Kwa nafasi walizokuwa nazo awali walikuwa wanaingia kwenye vikao vikuu vya chama vyenye kutoa maamuzi mazito ya chama kama Kamati Kuu za vyama vyao na walikuwa wanaongoza wilaya na mikoa. Mama kumpa James u-DC wa Ubungo ni kuonyesha hataki kufanya naye kazi ndani ya chama na anataka mtu mwingine kwenye umoja wa vijana.
Wamepeleka gunia la Sumu UbungoHiyo Wilaya Wapinzani wakianza TANZIA basi tutajua Sindano za Sumu zinahusika
Ashukuru Mama katumia huruma. Mwendazake aliwalaghai sema ameona angalau waambulie hicho hicho kidogoKwa Mashinji ni demotion sababu kwanza alikuwa analamba 12M mshahara sasa anarudi kwenye 4M, Heri James ni promotion
Ubungo atajikuta anakuwa kama MakondaJames amewekwa ubungo ili ajichanganye kazi iishe!
Kama alivyomchapa Biswalo Rungu la Kichwa. Sasa Ofisi ya DPP raha mstarehe amani tupu.Wote wawili ni demotion ya kiwango kikubwa.
Kiuhalisia, James amekwishaondolewa kwenye nafasi ya mwenyekiti wa UVCCM. Kuwa mkuu wa wilaya, ni kuwa mtendaji wa Serikali kila siku. Sasa hawezi kutoka ofisini kwenda kwenye shughuli za cha bila ya kuruhusiwa na Mkuu wa Mkoa. Imetafutwa namna ya kumdhibiti.
Huyu Mama Samia, ni mjuzi hasa. Ukiwa na akili ndogo, unaweza kuondolewa kwenye uongozi huku ukishangilia kwa furaha kubwa, ukiamini umepanda.
Kumbe? na hiyo amepewa tu kwa kuwa alikuwa na nafasi kubwa kamati kuu. Mama anaanza kupunguza vigingi vya mwakani 2025Babati huyu alikuwa anauwezo wa kuingia Kamati Kuu CCM chombo chenye kutoa maamuzi magumu, kutembea nchi nzima kuhamasisha chama leo hawezi kutoka nje ya Ubungo bila kibali cha Makalla
Mbona nakumbuka Emanuel Nchimbi akiwa kwenye nafasi hiyo, alikuwa pia mkuu wa Wilaya ya Bunda?Wote wawili ni demotion ya kiwango kikubwa.
Kiuhalisia, James amekwishaondolewa kwenye nafasi ya mwenyekiti wa UVCCM. Kuwa mkuu wa wilaya, ni kuwa mtendaji wa Serikali kila siku. Sasa hawezi kutoka ofisini kwenda kwenye shughuli za cha bila ya kuruhusiwa na Mkuu wa Mkoa. Imetafutwa namna ya kumdhibiti.
Huyu Mama Samia, ni mjuzi hasa. Ukiwa na akili ndogo, unaweza kuondolewa kwenye uongozi huku ukishangilia kwa furaha kubwa, ukiamini umepam
Si haba mkuu inatoshaAshukuru Mama katumia huruma. Mwendazake aliwalaghai sema ameona angalau waambulie hicho hicho kidogo
Huyu kapigwa kiakiliWote wawili ni demotion ya kiwango kikubwa.
Kiuhalisia, James amekwishaondolewa kwenye nafasi ya mwenyekiti wa UVCCM. Kuwa mkuu wa wilaya, ni kuwa mtendaji wa Serikali kila siku. Sasa hawezi kutoka ofisini kwenda kwenye shughuli za cha bila ya kuruhusiwa na Mkuu wa Mkoa. Imetafutwa namna ya kumdhibiti.
Huyu Mama Samia, ni mjuzi hasa. Ukiwa na akili ndogo, unaweza kuondolewa kwenye uongozi huku ukishangilia kwa furaha kubwa, ukiamini umepanda.
Milion I 2 ampe dj kabisa mbona ndoto za mchana kweupeKwa Mashinji ni demotion sababu kwanza alikuwa analamba 12M mshahara sasa anarudi kwenye 4M, Heri James ni promotion
Kwani angeendelea kuingia kwenye vikao hadi milele?Babati huyu alikuwa anauwezo wa kuingia Kamati Kuu CCM chombo chenye kutoa maamuzi magumu, kutembea nchi nzima kuhamasisha chama leo hawezi kutoka nje ya Ubungo bila kibali cha Makalla
Kwamba ni nini?Yaani kutoka ukatibu mkuu chadema mpaka ukuu wa wilaya unaota ni demotion?