Kheri James na Vincent Mashinji kupewa Ukuu wa Wilaya ni demotion

Mama kumpa James u-DC wa Ubungo ni kuonyesha hataki kufanya naye kazi ndani ya chama na anataka mtu mwingine kwenye umoja wa vijana.
Ni dalili njema kabisa, kijana alikuwa na kauli chafu, nadhani zile zindano za sumu alisema anawadunga wenzake naona amedungwa yeye anaanza kupote taratibu kwenye nafasi za uongozi, usishangae round nyingine akatoswa kabisa akarudi kusubiri book saba Lumumba, Mama ameona kauli za namna ile zinaligawa taifa mwisho wake nchi itaingia kwenye machafuko kwaajili ya watu wapuuzi wachache
 
Truth...
 
Kutoka kuwa kiongozi wa kitaifa hadi mkuu wa wilaya.......dah! njaa mbaya sana.
 
Cheo ni dhamana mkuu!demotion nyumbani kwao !
 
Bavicha wengi akili ni 0 huwa hawaoni mbele!

Utajisikiaje mwakani ukakuta Mashinji na James ni wakuu wa mikoa?
 

Hawana kazi umasikini ni shida sana. Hawa mtaji wao ni siasa tu. Dr kashidwa kufungua hata clinic masikini yeye kabaki kusubiri huruma za viongozi 🤔
 
Kwa status zao huyo kijana wa uvccm ilifaa awe promoted ubunge Kama ilivo kwa pole Pole na bashiru....na huyo mashinji ndio kabisa kashushwa sanaaaa...vyeo vya juu kumfaa au ubunge vipo ..hii inaonyesha wote waliohamia ccm kutoka cdm wamepewa hizi nafasi Kama fadhila kwa shingo upande...

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…