Kheri undugu wa damu kuliko udugu wa tabia?

Kheri undugu wa damu kuliko udugu wa tabia?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Wahenga walishasema damu ni nzito kuliko maji,udugu ni muunganiko wenye asili ya kitu au sababu moja mfano udugu wa kuzaliwa,familia au ukoo.

lakini,udugu unaweza kuwa wa kitabia mfano wapenda michezo soka,wajambazi,walafi na wezi,au wachepukaji wao nao huwa na udugu wao,sometimes udugu ni urafiki ila sio kila urafiki ni udugu.

Damu huenda ikawa nzito kwa baadhi ya watu positive na negative,ila kama mtu wa familia yako ni negative na wewe ni same caliber hapo udugu wenu utakuwa unashaka.

Udugu ni tabia.
 
Ulitaka kusemaje mkuu....!? mbona kama umetibuka!
 
Back
Top Bottom