Dalton Elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 968
- 1,978
Kila ifikapo April 2 kila mwaka Dunia huadhimisha siku ya kuthibitisha taarifa mtandaoni ikiwa ni lengo la kuhamasisha umuhimu wa kuchunguza ukweli wa habari kabla ya kuziamini au kuzisambaza.
Siku hii ilianzishwa mwaka 2016 na taasisi mbalimbali za habari na uhakiki wa taarifa, hasa International Fact-Checking Network, ambayo ni mtandao unaounganisha mashirika ya fact-checking duniani.
katika kuhakikisha kuwa ulimwengu unakuwa na jamii ambayo imeilimika na inakuwa na taarifa sahihi kwa mda sahihi .katika kungalia hiyo siku ya leo kuadhimisha uhakikia wa taarifa umejikita katika kutizama
1.Kupambana na habari za uongo (fake news)
2.Kuelimisha watu kuhusu umuhimu wa kuthibitisha taarifa
3.Kukuza uwajibikaji katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii
katika siku ya kaudhimisha hii huendana na kauli mbiu kama “Check before you share” (Hakiki kabla ya kushirikisha)
Kwa kifupi, siku hii ni ukumbusho kwamba kila mtu ana jukumu la kuhakikisha ukweli wa habarina si waandishi wa habari tu.