Safi, ila kuna mada nyingi sana humu ambazo ni fake news ila haziwi flagged kabisa. Inahatarisha credibility ya jamiiforums, tunaomba thread ambazo ni za kitaarifa (informative) hasa zinazotolewa mitandaoni ziwe regulated ili kupunguza misinformation.