๐๐๐๐TeAmo sana mkuu๐
Ooh jamani,Asante sana bro๐๐๐Happy birthday To yeye ishi maisha marefu sana nakutakia Kila la kheri katika siku yako ya kuzaliwa happy birthday to you ๐
View: https://youtu.be/l9O_SFcH4Kk?si=wruy58jWOCjMye6H
View: https://youtu.be/5u4xTa3LR2U?si=J0-XVsdHBacURVuQ
Kwa nini ni nuneBado umenuna? ๐ฅบ
Heri ya siku ya Kuzalilwa...๐ซก๐ซก๐ซกAmani ndiyo msingi mkuu katika maisha yangu! Kwa hapa nilipofikia,napenda kuwashukuru hawa wafuatao:
Asante mama!
Asante Elimu
Asante Kikwete, Magufuli na Samia (mshahara huu)
Asante wanangu,maana wananitia nguvu na ujasiri kuendelea kupambana
Asante jf, Max Me,na members wake kwa ujumla
#Nawapenda sana na mbarikiwe sana wapendwa โค๏ธโค๏ธ๐