Narumu kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,888
- 4,489
Moto unaowaka Kherson siyo mdogo, yaan sijui watu wanapataje data za waliokufa ,na vifaa vilivyoaribika.
Mahojiano yalifanywa kwa wanajeshi 7 wa Ukraine ambao walipata majeraha na wako katika uangaliz wa kiafya.
Mambo waliyofichua ni mazito, wanadai kiukweli hali ya vita Kherson ni kama kuzimu,maana hakuna mda wa kujipanga ni mabomu na machine gun tuu ziko bize saa 24.
Kuhusu idadi ya wanajeshi waliouwa wamesema ni vigumu kujua maana vita ni vikali sana ,unapishana na maiti ila hakuna mda wa kukagua ,maana maiti nying zimeharibika kabisa.
Mpaka sasa Ukraine wameshakomboa vijiji vinne ila ni mapema sana kujua hatima ya kuikomboa Kherson ,maana Russia wanatoa upinzani mkubwa na tunasonga mbele kwa gharama kubwa ,alisema mmoja wa mwanajeshi aliyejeruhiwa.
Mmoja wa majeruhi ameshangazwa na vyombo mbalimbali kutoa idadi ya askar waliopoteza maisha,akidai hicho kitu hakiwezekani kwa hali ya mapigano yalivyo makali na ya kikatili ,yanavyoendelea,anadai mpaka mda huu hakuna nafasi ya kukaa na kujipanga ni mashambulizi saa zote.
Note: Kherson ndio mji mkubwa ambao Russia wamefanikiwa kuuteka kwa 100%na huu mji atakayeshinda basi kashinda vita nzima