Kherson imegeuka kuzimu

Kherson imegeuka kuzimu

[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Na madaraja yoteya kutoka Crimea kuelekea kheson yameshaharibiwa na HIMARS..,hapa ndo patamu Sasa,

Mambo mengine bwana!! Nani kakwambia HIMARS rockets zina uwezo wa kuvunja madaraja, nani??

Kwa taarifa yako roketis za HIMARS hazina uwezo wowote wa kuvunja madaraja - ebu angalia kinacho tokea kwenye madaraja yanapo shambuliwa na roketi za HIMARS kinacho onekana ni mashimo shimo tu lakini structure nzima hipo intact kabisa in other words uharibifu ni superficial tu, labda wapige roketi 500 on the same spot, uwezo wa roketi za HIMARS kufanya uharibifu ni pale zinapo piga targets kama oil/fuel depots, ammunition dump ambazo wanajua zitasababisha a secondary explosion, basi.

Hizi sifa wanazo zimwagia HIMARS systems hazina ukweli wowote, hizo ni mbinu za kuzitatufitia HIMARS soko kimataifa - lakini ukweli unabaki pale pale HIMARS aren't GAME changer on war front zinashinda kwenye vita vya mtandaoni specifically mitandao ya kijamii, mfano: twitter,facebook na UTube nk..
 
Endelea kujifariji [emoji13]

Kwani uongo?? Nawakumbusheni mara nyingi tu kwamba viroketi vya HIMARS havina uwezo wowote wa kuleta madhara makubwa kwenye a reinforced concrete structure - uwezo huo hazina kabisa, sasa sijui kwa nini hamtaki kuelewa somo, lakini mkiambiwa na CNN,BBC,VoA propaganda hizo mnazichukulia kama ni Gospel TRUTH -ajabu sana!!
 
duh umewai yaona lkn ?
 
Un

Unaweza kuta wote wameshakuwa viziwi pia maana mizinga mabomu kila kukicha sio poa huku kwetu ukisikia mlio wa baruti unaona kabisa masikio yanawasha sasa hayo mabomu hii inatisha kwa kweli [emoji848]
Risasi na mizinga ndo mbaya zaidi
 
Kwani uongo?? Nawakumbusheni mara nyingi tu kwamba viroketi vya HIMARS havina uwezo wowote wa kuleta madhara makubwa kwenye a reinforced concrete structure - uwezo huo hazina kabisa, sasa sijui kwa nini hamtaki kuelewa somo, lakini mkiambiwa na CNN,BBC,VoA propaganda hizo mnazichukulia kama ni Gospel TRUTH -ajabu sana!!
Na matengenezo ya Kila siku yaliyokuwa yakifanywa na urusi kwenye Lile daraja unayazungumziaje?

Huna habari kuwa urusi wanatengeneza pontoon bridge Ili kuwasaidi kuvuka Lile daraja
Au tuseme nazo ni propaganda [emoji848]
 
ila ukraine wameshangaza sana, wengi tulidhani pengine uvamizi ulipanza wangekibia na kupoteana but jamaa wamejiorganize wakapigana zaidi ya vile mtu unavyoweza kuwakadiria, ni kweli wanapteza watu wengi but wap wameamua wanaume wote kusalia nchini kupambania nchi so interms of numbers somehow wanamudu, in ong run russia atawin ht akiamua kuchukua kiev but atapay heavy price
 
Hii vita ni ya NATO v/s RUSSIA
 
Back
Top Bottom