Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Na matengenezo ya Kila siku yaliyokuwa yakifanywa na urusi kwenye Lile daraja unayazungumziaje?
Huna habari kuwa urusi wanatengeneza pontoon bridge Ili kuwasaidi kuvuka Lile daraja
Au tuseme nazo ni propaganda [emoji848]
Mimesema hazina uwezo wa ku-bring down a reinforced concrete infrastructure - zitaishia kuweka mashimo mashimo tu, lakini sio kuvunja kabisa daraja labda kama roketi za HIMARS zaidi ya 200-300 zikilengwa on one spot hapa uwezekano wa kuvunja daraja unaongezeka lakini not otherwise - FYI, HIMARS zina uwezo mkubwa wa kuharibu/lipua oil/fuel depot pamoja na ammunation dumps triggering a secondary explosion, basi.