Khitma ya Saigon club ya Iddi Simba msikiti wa Mtoro

Wewe ukifa nani ataandika?
 
Mzizi,
Nimesomeshwa ilm ya minakasha yaani majadiliano na Sheikh Haruna na alikuwa akitueleza kuwa ukiona mtu anakuja na matusi elewa umeshamshinda kwani mwenye hoja ataleta hoja hawezi kubadili hoja kwa kutukana.

Sent using Jamii Forums mobile app
We mzee hakuna tusi hapo, hizo ni sifa zako tu!
Nchi hii watu walihangaika sana kuunganisha watu wajione pamoja na waishi kindugu bila kubaguana.....wewe unaleta kila mara hadithi zako zenye kuhimiza chuki!

We ni mhalifu tu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzizi...
Nipe ruhusa nikufunze ya kuzingatia katika kuandika.

Ukiwa unataka kuweka nukta huwa zinakuwa tatu tu kama hivi...

Wewe umeweka tano.....
Hili ni kosa.

Naamini kuanza leo utakuwa unaandika vile itakiwavyo.

Waliohangaika kuleta umoja wanafahamika na walioleta ubaguzi pia wanajulikana.

Ukipenda naweza kukupa darsa taratibu na tunajadili hapa muhimu ni wewe kujituliza na uwe na ustaarabu ili tija ipatikane:


Sent using Jamii Forums mobile app

Hiyo hapo juu picha ya wazalendo waliopigania uhuruwa Tanganyika.

Ifungue na tafakari kisha jiulize kwa nini wamefutwa kwenye historia?

Mimi wote hao nimewarudisha katika historia ya Tanganyika soma kitabu nilichoandika hicho hapo chini:

New photo by Mohamed Said

Kusahihisha pale palipokosewa au kusema kweli penye uongo si chuki.
 
Nilitegemea kupata mengi kuhusu maisha ya Iddi Simba.

Nakuta Iddi Simba kachomekwa tu kwenye habari za kila siku za kidini.

Hili halimtendei haki Iddi Simba wala dini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata nilitegemea kulata biography yake murua alisoma wapi,watoto wake,biashara zake n.k
Badala yake nakutana na yaleyale ya kila siku kuonewa, kushinda vibarazani,maendeleo ya uislamu n.k
 
Hata nilitegemea kulata biography yake murua alisoma wapi,watoto wake,biashara zake n.k
Badala yake nakutana na yaleyale ya kila siku kuonewa, kushinda vibarazani,maendeleo ya uislamu n.k
Remote,
Ningelikuwa mwandishi na mzungumzaji wa namna hiyo nisingefika kokote wala wewe usingenifahamu.

Hayo mengine sioni haja ya kuyasemea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilitegemea kupata mengi kuhusu maisha ya Iddi Simba.

Nakuta Iddi Simba kachomekwa tu kwenye habari za kila siku za kidini.

Hili halimtendei haki Iddi Simba wala dini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukikutana.na uzi wa mzee Mo said tegemea kukuta ndani yake habari za msikiti wa mtoro ,sijui manyema

Sijui habari za shekh Fulani maarufu hapo kariakoo .

Yaani harufu udini uzi mzima .

Yaani naweza m defined Kama mwandishi mzuri wa Mambo yaliyo base kwenye dini yake tu .

Na thread zake nyingi Zina tone ya Kama analalamika hivi kuonewa onewa kwa jamaa zake .

Nimkumbushe tu Kila Zama na kitabu chake .

Na Kama kweli wanaonea ilikuwaje kijana mdogo kutoka mwitongo akawazidi kete alwatans wa mjini wote ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu hata ukimwambia aandike kuhusu jua linavyochomoza na kuzama, ataingiza habari za waislamu kuonewa.

Ni kama mtu aliyevaa miwani yenye rangi nyekundu, chochote anachokiona ni lazima akione kwa kupitia miwani hiyo ya rangi nyekundu.

Ndiyo maana unakuta hitima ya Iddi Simba, marehemu katajwa sehemu chache sana.

Kwingine kote siasa za udini za kila siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi na wewe tuna falsafa na tamaduni tofauti sana.

Nikikupa straight talk tu au tough love style ya "Hard Talk" wewe nyoronyoro utaona nimekasirika.

Hujafikia brain cells zinazotakiwa kunikasirisha mimi.

Mwanahistoria gani hujui umuhimu wa timeline katika kuelezea maisha ya mtu?


Do not flatter yourself.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujamuelezea Iddi Simba kwa kumuunganisha na historia ya Dar es salaam.

Umemchomeka Iddi Simba sehemu chache tu katika propaganda zako za udini za kila siku.

Ndiyo maana hata tarehe ya kuzaliwa ya Iddi Simba hujatuwekea, hujatuwekea katiksa wapi, hujatuwekea alifanya kazi gani, hujatuwekea alipatwa na mikasa gani kazini, hujatuwekea alikabiliana nayo vipi, hujatuwekea maisha yake nje ya kazi, familia, kaacha watoto wangapi.

Wewe umetaja siasa za udini mwanzo mpaka mwisho.

Umechomeka jina la Iddi Simba sehemu mdogo sana kuhalalisha kwamba hii ni hitima ya Iddi Simba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mazigazi,
Ikiwa hupendezewi na Msikiti wa Mtoro na Manyema wako wanaopendezewa.

Ikiwa hupendi kusoma hustoria ya Sheikh Hassan bin Ameir na masheikh wengine wapo wanaopendezewa.

Mhadhara wangu wa kwanza Zanzibar ulikuwa Zanzibar University na nilimzungumza Sheikh Hassan bin Ameir.

Huu uwanja uko huru kwa kila mtu kuandika atakacho.

La wewe hupendezewi hujalazimishwa kusoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiranga,
Wewe ndiye unaenishambulia mimi.
Wewe ndiye hupendezwi na kalamu yangu.

Mimi sina shida na wewe wala hata siku moja sitakufata kukubughudhi kwa maneno.

Kama ulivyosema tuko tofauti katika utamaduni na kwa hakika na makuzi pia.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekushambulia wapi?Nipe nukuu ya maneno yangu mwenyewe tujadili neno baada ya neno nilipokushambulia.

Maana kwangu mimi kukuambia wewe ukweli kwako wewe usiyependa kuambiwa ukweli unaweza kuona ni kushambuliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekushambulia wapi?Nipe nukuu ya maneno yangu mwenyewe tujadili neno baada ya neno nilipokushambulia.

Maana kwangu mimi kukuambia wewe ukweli kwako wewe usiyependa kuambiwa ukweli unaweza kuona ni kushambuliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiranga,
Ukiwa unaona hujanishambulia kwangu sawa wala sina haja ya mie kuvutana na wewe wala sina sababu ya kujadiliana na wewe chembelecho,"neno kwa neno."

Nifanye hayo ili iwe nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiranga,
Ukiwa unaona hujanishambulia kwangu sawa wala sina haja ya mie kuvutana na wewe wala sina sababu ya kujadiliana na wewe chembelecho,"neno kwa neno."

Nifanye hayo ili iwe nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshindwa kutetea hoja kwamba nimekushambulia.

Yaondoe hayo maneno.

Hapa unapigwa malumbano makali ya hoja, sasa kama una unyoronyoro wa kiakili, ni lazima uone malumbano hayo ya hoja kuwa ni kushambuliwa.

Hoja ni kwamba, wewe hujaandika hitima ya maisha ya Iddi Simba, wewe ni opportunist unayetumia misiba ya watu maarufu kueneza propaganda zako za sumu za siasa za uislamu.

Hujaweza kuikanusha hoja hii.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiranga,
''Nambashiria pepo yule ambae atajiepusha na ubishi hata kama yeye yuko kwenye haki..''
 
Wewe unajiepusha na ubishi kwa kunijibu mimi katika ubishi?

Huoni contradiction hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unajiepusha na ubishi kwa kunijibu mimi katika ubishi?

Huoni contradiction hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiranga,
Hapana wewe ndiye umenifuata mimi kwa hamaki na matusi kuniita, ''nyoronyoro.''
Mimi maelezi yangu nilivyofunzwa kuepesha shari wakati wote.

Mimi lugha yangu kwako ni ya kistaarabu na ndiyo nimekueleza kuwa naepuka ubishi na maana yake ni kuwa naepusha shari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…