babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Ubwabwa uko wapi. Mnaacha kuuliza mambo ya muhimu ukiona shehe,msikiti,chai, chapati kinachofata mpunga na kanzu baas.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubwabwa uko wapi. Mnaacha kuuliza mambo ya muhimu ukiona shehe,msikiti,chai, chapati kinachofata mpunga na kanzu baas.
Wewe ukifa nani ataandika?Ndjabu...
Mimi nimeombwa nizungumze si kuwa nimezungumza kwa kimbelembele changu.
Imekuwa kawaida kila panapokuwa na shughuli ya Waislam khasa ikiwa ni msiba huwa naombwa nimzungumze marehemu kama nilivyomfahamu.
Nimezungumza katika maziko ya Ally Sykes, Kitwana Kondo na hivi karibuni Iddi Simba.
Halikadhalika nimeandika taazia zao na za watu wengi maarufu wa Dar es Salaam kama Ahmed Rashad Ali, Mohamed Awadh (Chico), Zubeir Mtemvu, Tewa Said Tewa, Bi. Titi Mohamed, Abubakar Tambaza wengi tu.
Nimeandika pia taazia ya Mwalimu Julius Nyerere.
Ni bahati mbaya kuwa hili linakukera lakini nifanyeje na hawa ni ndugu zangu na mimi nimezaliwa Dar es Salaam na wote nikiwajua nani awaandike?
Sent using Jamii Forums mobile app
We mzee hakuna tusi hapo, hizo ni sifa zako tu!Mzizi,
Nimesomeshwa ilm ya minakasha yaani majadiliano na Sheikh Haruna na alikuwa akitueleza kuwa ukiona mtu anakuja na matusi elewa umeshamshinda kwani mwenye hoja ataleta hoja hawezi kubadili hoja kwa kutukana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzizi...We mzee hakuna tusi hapo, hizo ni sifa zako tu!
Nchi hii watu walihangaika sana kuunganisha watu wajione pamoja na waishi kindugu bila kubaguana.....wewe unaleta kila mara hadithi zako zenye kuhimiza chuki!
We ni mhalifu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
photos.app.goo.gl
Hata nilitegemea kulata biography yake murua alisoma wapi,watoto wake,biashara zake n.kNilitegemea kupata mengi kuhusu maisha ya Iddi Simba.
Nakuta Iddi Simba kachomekwa tu kwenye habari za kila siku za kidini.
Hili halimtendei haki Iddi Simba wala dini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jogi,Wewe ukifa nani ataandika?
Remote,Hata nilitegemea kulata biography yake murua alisoma wapi,watoto wake,biashara zake n.k
Badala yake nakutana na yaleyale ya kila siku kuonewa, kushinda vibarazani,maendeleo ya uislamu n.k
Ukikutana.na uzi wa mzee Mo said tegemea kukuta ndani yake habari za msikiti wa mtoro ,sijui manyemaNilitegemea kupata mengi kuhusu maisha ya Iddi Simba.
Nakuta Iddi Simba kachomekwa tu kwenye habari za kila siku za kidini.
Hili halimtendei haki Iddi Simba wala dini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu hata ukimwambia aandike kuhusu jua linavyochomoza na kuzama, ataingiza habari za waislamu kuonewa.Ukikutana.na uzi wa mzee Mo said tegemea kukuta ndani yake habari za msikiti wa mtoro ,sijui manyema
Sijui habari za shekh Fulani maarufu hapo kariakoo .
Yaani harufu udini uzi mzima .
Yaani naweza m defined Kama mwandishi mzuri wa Mambo yaliyo base kwenye dini yake tu .
Na thread zake nyingi Zina tone ya Kama analalamika hivi kuonewa onewa kwa jamaa zake .
Nimkumbushe tu Kila Zama na kitabu chake .
Na Kama kweli wanaonea ilikuwaje kijana mdogo kutoka mwitongo akawazidi kete alwatans wa mjini wote ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi na wewe tuna falsafa na tamaduni tofauti sana.Kiranga,
Nasema nafsi yako inataabika kwa kuwa unaandika huku umeghadhibika.
Nasema umekasirika kwa kuwa unaishambulia haiba yangu.
Nimekuwa nikikutana na watu wa mfano wa wewe kwa miaka mingi kwa ajili ya kalamu yangu na wote mnafanana na kinachokunganisheni ni hasira zilizomo vifuani mwenu kila mnaponisoma.
Matumizi ya maneno ya matusi dhidi yangu yako dhahiri katika uandishi wako.
Wala mimi siwezi kuwa hamnazo kwa kiwango chochote utakachotumia.
Iddi Simba tunafahamiana vizuri na alikuwa mzugumzaji wangu sana.
Dar es Salaam hii mimi nitunie misiba ya watu...
Nifanye hivyo kwa kutafuta kitu gani?
Flattering?
Hapa kwetu Dar es Salaam au mji mwingine?
Hujamuelezea Iddi Simba kwa kumuunganisha na historia ya Dar es salaam.Mfiaukweli,
Ndugu yetu amehamaki jinsi nilivyomweleza Iddi Simba kwa kumuunganisha na historia ya Dar es Salaam na watu wake.
Hii ni moja ya ibra ya historia hii hata kama itakuwa ndani ya taazia wapo watu wanatamani kama historia hii isingelikuwapo.
Matokeo yake ndiyo haya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mazigazi,Ukikutana.na uzi wa mzee Mo said tegemea kukuta ndani yake habari za msikiti wa mtoro ,sijui manyema
Sijui habari za shekh Fulani maarufu hapo kariakoo .
Yaani harufu udini uzi mzima .
Yaani naweza m defined Kama mwandishi mzuri wa Mambo yaliyo base kwenye dini yake tu .
Na thread zake nyingi Zina tone ya Kama analalamika hivi kuonewa onewa kwa jamaa zake .
Nimkumbushe tu Kila Zama na kitabu chake .
Na Kama kweli wanaonea ilikuwaje kijana mdogo kutoka mwitongo akawazidi kete alwatans wa mjini wote ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiranga,Mimi na wewe tuna falsafa na tamaduni tofauti sana.
Nikikupa straight talk tu au tough love style ya "Hard Talk" wewe nyoronyoro utaona nimekasirika.
Hujafikia brain cells zinazotakiwa kunikasirisha mimi.
Mwanahistoria gani hujui umuhimu wa timeline katika kuelezea maisha ya mtu?
Do not flatter yourself.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekushambulia wapi?Nipe nukuu ya maneno yangu mwenyewe tujadili neno baada ya neno nilipokushambulia.Kiranga,
Wewe ndiye unaenishambulia mimi.
Wewe ndiye hupendezwi na kalamu yangu.
Mimi sina shida na wewe wala hata siku moja sitakufata kukubughudhi kwa maneno.
Kama ulivyosema tuko tofauti katika utamaduni na kwa hakika na makuzi pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiranga,Nimekushambulia wapi?Nipe nukuu ya maneno yangu mwenyewe tujadili neno baada ya neno nilipokushambulia.
Maana kwangu mimi kukuambia wewe ukweli kwako wewe usiyependa kuambiwa ukweli unaweza kuona ni kushambuliwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshindwa kutetea hoja kwamba nimekushambulia.Kiranga,
Ukiwa unaona hujanishambulia kwangu sawa wala sina haja ya mie kuvutana na wewe wala sina sababu ya kujadiliana na wewe chembelecho,"neno kwa neno."
Nifanye hayo ili iwe nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshindwa kutetea hoja kwamba nimekushambulia.
Yaondoe hayo maneno.
Hapa unapigwa malumbano makali ya hoja, sasa kama una unyoronyoro wa kiakili, ni lazima uone malumbano hayo ya hoja kuwa ni kushambuliwa.
Hoja ni kwamba, wewe hujaandika hitima ya maisha ya Iddi Simba, wewe ni opportunist unayetumia misiba ya watu maarufu kueneza propaganda zako za sumu za siasa za uislamu.
Hujaweza kuikanusha hoja hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiranga,Umeshindwa kutetea hoja kwamba nimekushambulia.
Yaondoe hayo maneno.
Hapa unapigwa malumbano makali ya hoja, sasa kama una unyoronyoro wa kiakili, ni lazima uone malumbano hayo ya hoja kuwa ni kushambuliwa.
Hoja ni kwamba, wewe hujaandika hitima ya maisha ya Iddi Simba, wewe ni opportunist unayetumia misiba ya watu maarufu kueneza propaganda zako za sumu za siasa za uislamu.
Hujaweza kuikanusha hoja hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unajiepusha na ubishi kwa kunijibu mimi katika ubishi?Kiranga,
''Nambashiria pepo yule ambae atajiepusha na ubishi hata kama yeye yuko kwenye haki..''
Wewe unajiepusha na ubishi kwa kunijibu mimi katika ubishi?
Huoni contradiction hapo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiranga,Wewe unajiepusha na ubishi kwa kunijibu mimi katika ubishi?
Huoni contradiction hapo?
Sent using Jamii Forums mobile app