Kweli wewe umepata maradhi ya "kupenda kupigana bila kufikiri "!
Mie nakuonya kwa uandishi wangu wa aina yoyote ile, ili uache na ukome tabia ya kishetani ya kuchochea chuki ya kidini kwa kuchanganya uongo na ukweli!
Ukweli hata uwe mzuri vipi ukitia uongo kidogo kwa malengo ya kishetani ushaharibu. Inakuwa ni kitu cha hovyo tu kama maandishi yako hayo.

KHITMA YA SAIGON CLUB YA IDDI SIMBA MSIKITI WA MTORO
Msikiti wa Mtoro kwa baadhi yetu tuliokulia Dar es Salaam unatukumbusha wengi katika wapendwa wetu ambao wametangulia mbele ya haki.
Binafsi namkumbuka mzee wangu, baba yangu na rafiki yangu Sheikh Zubeir Said Chanzi ambae yeye kakua na baba yangu toka udogo wao Mtaa wa Kipata katika miaka ya 40.
Sheikh Zubeir alikuwa habanduki Msikiti wa Mtoro toka ule wa asili uliojengwa na Sheikh Mtoro Mwinyi Mangara hadi ulipovunjwa na kujengwa mara mbili na huu ujenzi wa tatu ukajengwa na Said Salum Bakhersa ambao ndiyo msikiti huu wa fahari uliokuwapo hivi sasa.
Wengi tuna kumbukumbu za Msikiti wa Mtoro wakati wa Sheikh Kassin bin Juma akiwa Imam Mkuu katika miaka ya 1980 wakati Waislam walipitia kipindi kigumu sana na kwa bahati nzuri au mbaya Rais wa Tanzania alikuwa Sheikh Ali Hassan Mwinyi.
Huu ulikuwa wakati wa Barua za Kiuchungaji na ulikuwa pia wakati wa Mihadhara ya Biblia na ulikuwa wakati Sheikh Kassim akitoa hotuba kali za Ijumaa zilizosisimua Waislam.
Huu ulikuwa wakati hata gazeti la Chama na Serikali Uhuru na Mzalendo na Daily News zikimshambulia Mwenyekiti wa chama chenyewe na Rais wa nchi.
Haya hayakupata kutokea wakati rais Nyerere yuko madarakani.
Haya ndiyo yaliyompa nguvu Sheikh Kassim Juma kutumia membar ya Msikiti wa Mtoro kutoa majibu.
Katika moja ya khutba nyingi alizopata kutoa hii moja iliniathiri sana mimi na nimeipa jina, ''Leo Nitataja Majina.''
Sheikh Kassim Juma siku ile alianza hotuba yake kwa kusema kuwa ''nitataja majina.''
Khutba hii Sheikh Kassim alitaja majina kama matatu, Rajab Diwani, Abdul Sykes na Maalim Mohamed Matar na kila mtu akimpa sifa zake alizostahili na uhusiano wake na Mwalimu Nyerere katika historia ya uhuru wa Tanganyika ukimtoa Maalim Matar.
Sheikh Kassim alikuwa bingwa wa kuzungumza na alikuwa akijua namna ya kugusa hisia ya hadhira yake.
Siku ile alimtaja Abdul Sykes siku ya maziko yake na vipi yeye na Mwalimu Nyerere walivyoshiriki katika maziko yale.
Sheikh Kassim siku ile kwa mara ya kwanza aliueleza umma akasema, ''Huyu Abdul Sykes alikuwa mtu wake sana Nyerere.''
Nimekaa pale msikitini mengi yaliyopitika pale yakinirudia.
Kwa hakika msikiti unavutia na Sheikh Mtoro wa Mangara ikiwa Allah atamuonesha msikiti wake ulivyo sasa ataukataa atasema msikiti wake haukuwa hivi msikiti wake ulikuwa kibanda cha udongo, fito, mawe na chokaa.
Nimekaa msikitini pale nakumbuka mengi yaliyopita.
Nakumbuka Iddi Simba pale msikitini akiswali safa ya mbele na akimsikiliza Sheikh Kassim akitoa zile hotuba ambazo kabla hazikupata kutolewa.
Wako wenzake wengi walioukimbia msikiti kwa hofu.
Iddi Simba hakuondoa alikuwapo wakati wote ametulia pale mbele akimsikiliza Sheikh Kassim.
Iko siku nikamuuliza kwa nini yeye bado yupo Msikiti wa Mtoro hajaukimbia kama wenzake.
Jibu alilonipa ni kuwa yapo mafunzo ya kujifunza na ipo faida kwa pande zote.
Nikiwa msikitini pale nilimtazama Mzee Mwinyi na nikawa nafikiria shida alizopata wakati wa utawala wake na nilifarajika sana kwa kumuona jinsi alivyokuwa ''relaxed,'' hakika kama nahodha ambae juu ya misukosuko ya bahari alikifikisha chombo salama bandarini.
Nakumbuka wakati huu wa utawala wake baada ya kuwa anashambuliwa hata na vyombo vyake vyenyewe vya Chama na Serikali marehemu Ahmed Saleh Yahya alikuja Dar es Salaam kutoka London tukiwa tunakunywa chai, sambusa na kababu katika mgahawa mmoja katikati ya mji akaniomba kwa siri niandike makala ya kumtetea Rais Mwinyi.
Ahmed Saleh Yahya alikuwa Mhariri wa Africa Events jarida maarufu miaka ile.
Angalia picha iliyowekwa ya makala ambayo niliandika kueleza matatizo ya Tanzania katika kipindi kile.
Lakini haya yote yakapita kwa salama na leo imebakia historia.

Mzee salaaam. Mie nimeifurahia sana makala hii. Basi ukijaaliwa siku ingine hebu tupatie na makala ya ndugu yetu Kigoma Malima enzi zile za vuguvugu la vyama vingi. Manake kwenye historia ya vyama vingi na siye mtu wa kuacha nyuma. Asante
Nilidhani anaelezewa Iddi Simba Marehemu kumbe Skyes... Huyu Sykes naanza ona alikuwa anawafanyia watu michezo ile mibaya maana sio kwa Kutajwa tajwa Huku kila issue hata zisizo mhusu...
Saigon ni kama ilishajifia siku nyingi tokea kijiwe kilipohama pale na kuhamia Nyumba ya Kina Hamisi Msukuma... Na Kumtukana na kumdharau Tarimo Mchaga mnywaji kama Laana iliwapata

Mlaleo,
Kuna historia nakuwekea hapa usome kisha tunaweza tukaendelea na mjadala:
Ndjabu...
Ondoa tu hayo matusi hayana maana lakini yote uliyoandika ni muhimu.
Obsession honestly...
Hakika kisa cha akina Sykes ni kisa mimi kimenikamata sana.
Achilia ule udugu lakini siku niliposoma kitabu, ''Modern Tanzanians,'' kitabu alichohariri John Iliffe na kusoma, ''The Townsman: The Life of Kleist Sykes,'' sura iliyoandikwa na mjukuu wa Kleist Sykes, Aisha ''Daisy'' Sykes Buruku historia hii ilikamata fikra zangu (Modern Tanzanians, (ed), East African Publishing House, Nairobi, 1973).
Nakumbuka kama vile jana nilikuwa katika Maktaba ya Taifa, Arusha ndipo nilipokikuta kitabu hiki.
Utafiti wangu wa kutaka kujua mengi ulianza siku ile.
Nikawauliza hawa ndugu zangu juu ya kitabu cha Iliffe.
Wakanifahamisha kuwa babu yao, Kleist Sykes kabla ya kufariki mwaka wa 1949 alikuwa ameandika ''kitabu,'' ambacho alimwachia mwanae Abdul Sykes.
Kwa hakika hakikuwa kitabu bali mswada wa kitabu.
Mwanae Abdu Sykes, Daisy alipoingia Chuo Kikuu cha Afrika ya Mashariki mwaka wa 1967 kusoma Elimu na Historia ndipo alipokutana na John Iliffe na huyu mwalimu wake baada ya kufahamu historia ya akina Sykes na yeye kama mimi akakumbwa na hii ''obsession,'' akataka kujua mengi vipi walifika Tanganyika kutoka Afrika ya Kusini.
Hapo ndipo Daisy akawa anachukua nyaraka zilizokuwa katika familia na kumuonyesha Iliffe pamoja na mswada wa kitabu alichoandika babu yake.
Kutokana na nyaraka hizi Iliffe akaandika paper hii: '‘The Role of the African Association in the formation and Realisation of Territorial Conciousness in
Tanzania.’ Mimeo, Universityof East Africa Social Sciences Conference,'' 1968.
'
Iliffe kapatwa na homa ya ''obsession,'' ya akina Sykes anataka kujua mengi zaidi Daisy akipewa ''assignment,'' anakwenda kwa baba yake anauliza anapewa maelezo na ushahidi wa nyaraka.
Iliffe kila akielezwa hili ndani linazuka jingine akataka kujua ilikuwaje Abdul Sykes akawa General Secretary wa Dar es Salaam Dockworkers Union mwaka wa 1948.
Iliffe akapewa maelezo na nyaraka akaandika paper hii:‘A History of Dockworkers of Dar es Salaam’ TNR, Dar es Salaam, 71, 1970.
Iliffe kama mimi miaka mingi baadae akawa Sykes, Sykes na Sykes.
Sijui kwa nini Iliffe hakuandika historia ya TANU kwa ukamilifu wake wala hakuwa na shauku ya kukutana na Abdul Sykes, baba wa mwanafunzi wake hodari Aisha ''Daisy,' Sykes ambae kamsaidia sana kuijua historia ya African Association na TANU.
Mohamed Said na yeye kwa kumsoma Iliffe gonjwa la Sykes likamkumba.
Mimi nikaamua kufanya kile Iliffe hakufanya nacho ni kuandika maisha ya Abdul Sykes lakini nikaamua pia kuweka mguu wangu pale unyayo wa Iliffe ulipokanyaga.
Hapa ndipo ilipoaanza safari yangu iliyonifikisha hadi Imhambane kijiji kinachoitwa Kwa Likunyi alipotoka Sykes Mbuwane kuelekea Laurenco Marquis akiwa ameongozana na Chief Mohosh na Wazulu wengine kupanda manowari ya Wajerumani kuja Pangani kuanza vita na Abushiri bin Salim na Mtwa Mkwawa mwishoni mwa miaka ya 1880.
Huyu Chief Mohosh ndiye akaja kujulikana kama Affande Plantan Tanganyika akiwa mkuu wa Germany Constabulary.
Prof. Emmanuel Achiempong wa Harvard na yeye gonjwa la Sykes likamkumba akaniandikia mwaka wa 2008 kuniomba anijumuishe katika mradi wa Dictionary of African Biography (DAB) anataka niandike mchango wa Kleist Sykes katika historia ya Afrika.
Mradi huu ulijumisha waandishi na watafiti takriban 500 kutoka kila pembe ya dunia.
Oxford University Press, New York wamechapa volumes sita ya kazi hii.
Bwana Ndjabu,
Yako mengi lakini kwa leo tuuishie hapa sitaki kuwachosha wasomaji.
NB:
Mwaka wa 2011 katika kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika serikali ikaamua kutunuku Medali ya Mwenge wa Uhuru kwa Ally na Abdul Sykes kwa kutambua mchango wao katika kuunda TANU na kupigania uhuru wa Tanganyika.

Bwana Ndja
Yako mengi lakini kwa leo tuuishie hapa sitaki kuwachosha wasomaji.
Saigon haijapata kufifia hata siku moja kuanzia ilipoundwa mwaka wa 1967 nami nikiwa mmoja wa waasisi.
Wastani wa umri wetu ulikuwa miaka 15 na huu ndiyo ulikuwa umri wangu mimi.
Baada ya kuwa sasa tumekuwa watu wazima hatuwezi tena kucheza mpira Saigon imebakia kuwa Barza maarufu sana ya Wanamji wa Dar es Salaam.
Saigon ina kalenda mbili muhimu sana ya mwaka kitu ambacho hata vilabu vikubwa havijaweza kufanya.
Kila mwaka Saigon inafanya khitma ya kuwarehemu wanachama wenzetu waliotangulia mbele ya haki, ndugu na jamaa na masheikh wetu na jina la kwanza kutajwa huwa la Sheikh Hassan bin Ameir.
Saigon kila mwaka Mwezi wa Ramadhani tunafuturisha.
Huu mpango wa futari alianzishamarehemu Iddi Simba kwa kuwaalika viongozi wa Saigon nyumbani kwake kwa ajili ya futari kisha akaleta wazo kuwa itakuwa bora zaidi ikiwa futari hii itafanyika club kwa wanachama wote na Waislam kwa ujumla.
Wazo hili liliafikiwa na yeye mwenyewe ndiye aliyekuwa akigharamia futari kila mwaka hadi alipofariki.
Katika shughuli hizi zote wageni wa heshima wanakuwa viongozi wakubwa wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Lakini kubwa linalojenga nguvu Saigon ni ule uwezo wake wa kuweza kuwavutia wanachama wapya wa kila aina bila ya kujali dini wala kabila zao au ni wazawa wa Dar es Salaam au kwengineko.
Tunamuomba Allah ajaalie mapenzi haya yadumu hadi siku ya mwisho.
Nakuwekea picha ya Ally Sykes akiwa na Sheikh Issa Aussi wazee ambao wamekuwa pamoja na baba yangu katika mitaa ya Dar es Salaam.
Nakuweka pia picha ya Iddi Simba katika khitma yake ya mwisho kuhudhuria mwaka jana.
Kulia ni Ally Sykes na pembeni yake ni Sheikh Issa Ausi picha hii nimewapiga mimi kwenye Khitma ya Saigon mwaka wa 2010.
Hii ni klabu hapa Dar es salaam ambayo kila Rais wa Tanzania alikuwa member (sina hakika kama huyu wa sasa, Magufuli naye ni member) Wazee wetu na walikuwa members toka miaka hiyo sisi tunakua ya 1980's (wengine tumekuja kuiona baada ya kuhamia Kariakoo Mtaa wa sikukuu). Mohammed Said tunaomba...
KHITMA YA SAIGON CLUB YA IDDI SIMBA MSIKITI WA MTORO
Msikiti wa Mtoro kwa baadhi yetu tuliokulia Dar es Salaam unatukumbusha wengi katika wapendwa wetu ambao wametangulia mbele ya haki.
Binafsi namkumbuka mzee wangu, baba yangu na rafiki yangu Sheikh Zubeir Said Chanzi ambae yeye kakua na baba yangu toka udogo wao Mtaa wa Kipata katika miaka ya 40.
Sheikh Zubeir alikuwa habanduki Msikiti wa Mtoro toka ule wa asili uliojengwa na Sheikh Mtoro Mwinyi Mangara hadi ulipovunjwa na kujengwa mara mbili na huu ujenzi wa tatu ukajengwa na Said Salum Bakhersa ambao ndiyo msikiti huu wa fahari uliokuwapo hivi sasa.
Wengi tuna kumbukumbu za Msikiti wa Mtoro wakati wa Sheikh Kassin bin Juma akiwa Imam Mkuu katika miaka ya 1980 wakati Waislam walipitia kipindi kigumu sana na kwa bahati nzuri au mbaya Rais wa Tanzania alikuwa Sheikh Ali Hassan Mwinyi.
Huu ulikuwa wakati wa Barua za Kiuchungaji na ulikuwa pia wakati wa Mihadhara ya Biblia na ulikuwa wakati Sheikh Kassim akitoa hotuba kali za Ijumaa zilizosisimua Waislam.
Huu ulikuwa wakati hata gazeti la Chama na Serikali Uhuru na Mzalendo na Daily News zikimshambulia Mwenyekiti wa chama chenyewe na Rais wa nchi.
Haya hayakupata kutokea wakati rais Nyerere yuko madarakani.
Haya ndiyo yaliyompa nguvu Sheikh Kassim Juma kutumia membar ya Msikiti wa Mtoro kutoa majibu.
Katika moja ya khutba nyingi alizopata kutoa hii moja iliniathiri sana mimi na nimeipa jina, ''Leo Nitataja Majina.''
Sheikh Kassim Juma siku ile alianza hotuba yake kwa kusema kuwa ''nitataja majina.''
Khutba hii Sheikh Kassim alitaja majina kama matatu, Rajab Diwani, Abdul Sykes na Maalim Mohamed Matar na kila mtu akimpa sifa zake alizostahili na uhusiano wake na Mwalimu Nyerere katika historia ya uhuru wa Tanganyika ukimtoa Maalim Matar.
Sheikh Kassim alikuwa bingwa wa kuzungumza na alikuwa akijua namna ya kugusa hisia ya hadhira yake.
Siku ile alimtaja Abdul Sykes siku ya maziko yake na vipi yeye na Mwalimu Nyerere walivyoshiriki katika maziko yale.
Sheikh Kassim siku ile kwa mara ya kwanza aliueleza umma akasema, ''Huyu Abdul Sykes alikuwa mtu wake sana Nyerere.''
Nimekaa pale msikitini mengi yaliyopitika pale yakinirudia.
Kwa hakika msikiti unavutia na Sheikh Mtoro wa Mangara ikiwa Allah atamuonesha msikiti wake ulivyo sasa ataukataa atasema msikiti wake haukuwa hivi msikiti wake ulikuwa kibanda cha udongo, fito, mawe na chokaa.
Nimekaa msikitini pale nakumbuka mengi yaliyopita.
Nakumbuka Iddi Simba pale msikitini akiswali safa ya mbele na akimsikiliza Sheikh Kassim akitoa zile hotuba ambazo kabla hazikupata kutolewa.
Wako wenzake wengi walioukimbia msikiti kwa hofu.
Iddi Simba hakuondoa alikuwapo wakati wote ametulia pale mbele akimsikiliza Sheikh Kassim.
Iko siku nikamuuliza kwa nini yeye bado yupo Msikiti wa Mtoro hajaukimbia kama wenzake.
Jibu alilonipa ni kuwa yapo mafunzo ya kujifunza na ipo faida kwa pande zote.
Nikiwa msikitini pale nilimtazama Mzee Mwinyi na nikawa nafikiria shida alizopata wakati wa utawala wake na nilifarajika sana kwa kumuona jinsi alivyokuwa ''relaxed,'' hakika kama nahodha ambae juu ya misukosuko ya bahari alikifikisha chombo salama bandarini.
Nakumbuka wakati huu wa utawala wake baada ya kuwa anashambuliwa hata na vyombo vyake vyenyewe vya Chama na Serikali marehemu Ahmed Saleh Yahya alikuja Dar es Salaam kutoka London tukiwa tunakunywa chai, sambusa na kababu katika mgahawa mmoja katikati ya mji akaniomba kwa siri niandike makala ya kumtetea Rais Mwinyi.
Ahmed Saleh Yahya alikuwa Mhariri wa Africa Events jarida maarufu miaka ile.
Angalia picha iliyowekwa ya makala ambayo niliandika kueleza matatizo ya Tanzania katika kipindi kile.
Lakini haya yote yakapita kwa salama na leo imebakia historia.
Itabidi utuandikie pia hadithi ya The really Idd Simba. Amefanya mambo mengi sana. Ili tuwe waungwana yote yakae wazi. Na heshima ya Saigon iendelee kuenziwa

TANU ilikuwa na wanachama wengi mno walioipigania wengine walikua mikoani, wilayani wengi sana kuwataja wote haiwezekani, ndio maana wanazuoni wa chuo cha kivukoni wakamzungumzia nyerere tu kuwakilisha harakati za TANU, wote wakitaka watambulike ingeleta vurumai
Sent using Jamii Forums mobile app
Laki...
Wote wanataka kutambulika hii fikra kuwa kulikuwa na watu walitaka kutambulika wewe umeitoa wapi?
Watake kutambulika kwa kufanya nini?
Huenda wewe hujui yaliyopitika baada ya uhuru kupatikana mwaka wa 1961.
Sijapata kusikia au kusoma popote kuwa katika waasisi wa TANU wako waliotaka kutambulika.
Mimi nililiona tatizo la historia ya TANU mwaka wa 1981 katika kitabu cha Chuo Cha CCM Kivukoni.
Historia ile waliyoandika haikuwa historia ya TANU niijuavyo mimi ndipo nikaandika hii historia mnayoisoma hivi sasa hapa barzani.
Ninachokiona kwenu ni nyinyi kutaabika na historia hii ya kweli kwa akili zenu kukataa kuamini ukweli wa mambo mkatamani kubakia na ile historia iliyowafuta wazalendo waliuounda TANU na waliopigania uhuru wa Tanganyika.

Shida yako kubwa ni kutaka kuonyesha utakatifu wa kundi lenu na kwanini historia haiwatambui hivyo. Ila historia Mwalimu mzuri sana. Kuna siku tutayajua tote hata yale yanayofanywa gizani

Ndugu zake wa karibu Marehemu Iddi Simba wapo kimya lakini Mohamed Said na kimbelembele chake kashindwa kujizuia yumo humu kutangaza utadhani Msemaji wa Familia. Ndiyo hiyohiyo misifa yake inayomfanya ajione na ajitwike kama yeye ndiyo mtetezi namba wani wa Waislamu wote Tanzania.
Kwani kipi kibaya alichokisema hapa mwandishi? Acha kuleta udini ila ukitaka history sana ya nchi hii katika kutetea Uhuru wetu wallah!! Waislam walijitoa 100%
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.