njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
na wewe ni chawa mkuu? upo level gani ya uchawa?Ila we jamaa,unaongea unajijibu mwenyewe tafran tu
miminazungumzia suala la nani mama yake siyo la usajili, issue hapo ni kanjanja la media ku spread fake news, mama halisi ni huyo mzee aliyefanana na ki azizSasa tumuamini yupi....maana wote wawili wameweka picha. Tupia video bhana
miminazungumzia suala la nani mama yake siyo la usajili, issue hapo ni kanjanja la media ku spread fake news, mama halisi ni huyo mzee aliyefanana na ki aziz
BUHAHAHAH [emoji23]Huyo ni counter wa bar na ni mchepuko wa side pia na kipindi kii yupo Dar aliombwa apige nae picha tu basi
kanjanja yule asikupe tabu huwa anahaha kama kinguchiro anasikitisha sana kwa kweliHuyo kanjanja amesema huyo mzee ni bibi yake[emoji23][emoji23][emoji23]
ile Miaka Mitano Yenu Ya Kuteseka Kipindi Kile Ndio Inarudi Tena, Kwaio Mkae Kwa Kutulia [emoji23]Ki aZiz asikubali kwenda utopoloni kabisa!
Cc tumeikana kwa kuwa hatuendani na unafiki na udhambiki mkubwa kama wa uto wanaoahindwa kuwaambia ukweli mashabiki wao anyway uchaguzi ukipita ni mengi yatawaacha watu midomo waziBUHAHAHAH [emoji23]View attachment 2257838
Af Wewe Unakuwa Bize Sana Na Mambo Ya Yanga Unapeenda Habari Za Yanga [emoji23], Hivi Zile Million 23 Za Rungu La CAF Mmeshalipa Au Mnasubiria Kupelekwa Polisi?? Eeeh! Nyiee?!Mambo ni mengi muda mchache ni vurugu mechi zahapa na pale, makanjanja yaliyoamua kujivika uchawa na kudhalilisha taaluma ambayo huwa inaaminika kwamba ni mhimili wa 4 yaani media...
Mmeikana Baada Ya Kupigwa Cha Mbavu Na Mr Ki, Barua Ilikuw Inasambaa Tangu Asubuhi Hamkuiona Mpaka Mje Kuikana Karibia Na Jioni Sijui Ni Jioni KabisaCc tumeikana kwa kuwa hatuendani na unafiki na udhambiki mkubwa kama wa uto wanaoahindwa kuwaambia ukweli mashabiki wao anyway uchaguzi ukipita ni mengi yatawaacha watu midomo wazi
Sisi tumeikataa ila nyinyi mmeikubali na wakati sio kweli. Kati ya hizo picha mnazosambaza ipi ni ya kusaini mkataba?Mmeikana Baada Ya Kupigwa Cha Mbavu Na Mr Ki, Barua Ilikuw Inasambaa Tangu Asubuhi Hamkuiona Mpaka Mje Kuikana Karibia Na Jioni Sijui Ni Jioni Kabisa
Kwa Uwelewa Wako Hapa Hersi Na Hawa Watu Wanajadili Michango Ya Harusi?Sisi tumeikataa ila nyinyi mmeikubali na wakati sio kweli. Kati ya hizo picha mnazosambaza ipi ni ya kusaini mkataba?
Kama hili ni gumu basi naomba picha ya pamoja walioyopiga...
keshalipa Said bagaile aka kigwangwala pesa alizokwapua maliasili zimesaidia kulipa, next question?Af Wewe Unakuwa Bize Sana Na Mambo Ya Yanga Unapeenda Habari Za Yanga [emoji23], Hivi Zile Million 23 Za Rungu La CAF Mmeshalipa Au Mnasubiria Kupelekwa Polisi?? Eeeh! Nyiee?!
Kwa hiyo baada ya hapo hata picha ya pamoja walishindwa kupiga?Kwa Uwelewa Wako Hapa Hersi Na Hawa Watu Wanajadili Michango Ya Harusi?View attachment 2257841