Walikuwa wanakula msosi mkuu ila hapa sijui walikuwa wanafanyaje
View attachment 2257982
Sent from my Redmi Note 9 Pro using
JamiiForums mobile app
Unazungumziaje maoni haya?
KWAJILI YA NINI, KWAJILI YA NANI?
Viongozi wetu wa soka hasa vijana wanapaswa kuwa WAADILIFU kwenye mambo yao.
Hizi picha tunazoonyeshwa mitandaoni kuhusiana na AZIZI KI kweli zimepigwa juzi, jana au leo nchini IVORY COAST?
Huyu Mwanamama anaeonekana ni Wakala wa mchezaji tunaemgombea kweli?
Kuna picha tulizopiga Morocco wakati wa mechi ya Berkane na Asec tukiwa na yule mama agent wa Berkane tunazo bado?
Kupiga picha mahala popote na mchezaji au mtu maarufu ni rahisi sana sikuhizi hasa kama nawe uko industry hiyo ndo kabisaa, unaomba unapiga.
Wakati mchezaji yupo hakuna MKATABA, wakati kuna mkataba hakuna MCHEZAJI. Coincidence au planned?
Kama tumemsajili why hashiki mkataba wetu na kupiga nae picha tukiwa tumemkumbatia kama ilivyo ada yetu?
Kuna jambo haliko sawa na wala hakuna sababu ya kulifanya zaidi ya kampeni za uchaguzi.
Kama mnaanza mapema hivi mkipewa nchi itakuaje? Should we trust the process or project Kama inavyopigiwa debe?
NB: Mpaka sasa hakuna Klabu ya Tanzania imeingia makubaliano na Stephen Aziz Ki ya namna yoyote ile. Unaoendelea kwa Klabu zote Simba na Yanga ni ushamba tu na vitu feki kwa ujinga wetu. PROVE ME WRONG..!!
BIN KAZUMARI.