Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
Kwa Uwelewa Wako Hapa Hersi Na Hawa Watu Wanajadili Michango Ya Harusi?View attachment 2257841na huyo counter huko insta amezuwa gumzo baada ya kudai anamahusiano ya kimapenzi na Aziz Kii.
Kwaio Ni Kweli Nyie Ni Wanga, Na Mnatumia Vinyamkela Kushinda Mechi Zenu Huko Kimataifa Si Ndio?? Eeeeeeh! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]keshalipa Said bagaile aka kigwangwala pesa alizokwapua maliasili zimesaidia kulipa, next question?
Samahani Bwana Kolo We Una Miaka Mingapi?? [emoji1787], Kwani Hiyo Sio Picha Ya Pamoja? Au Kila Mtu Kajitenga Na Meza Yake Apo?K
Kwa hiyo baada ya hapo hata picha ya pamoja walishindwa kupiga?
Sasa shida ni nn haswa had iwe habar kiivo.Basi Sio Mama Yake Mzazi Tufanye Ni Wakala Wake, Enhee Kuna Kingine?? [emoji41]View attachment 2257836
Basi Tufanye Kasajiliwa Simba.Sasa shida ni nn haswa had iwe habar kiivo.
Amesajiliwa so what ? Why wapumbavu wengi hamshtuki tu kuwa mnatumiwa kufanikisha mipango yao?
Kusajili ni jukumu lao ila Sasa why Hilo swala lije kisiasa Sana na nn maana yake?
Huyu nati zimelegezwa , mwenyewe sijui huwa anajiona vipiIla we jamaa,unaongea unajijibu mwenyewe tafran tu
We unavyoona kwenye hiyo picha kuna mjadala wanaoujadili au wanapiga msosi?Kwa Uwelewa Wako Hapa Hersi Na Hawa Watu Wanajadili Michango Ya Harusi?View attachment 2257841
Wee njaakalihatari JINGA kweli, kumbe hujui kuna Bibi na Mama!Mambo ni mengi muda mchache ni vurugu mechi zahapa na pale, makanjanja yaliyoamua kujivika uchawa na kudhalilisha taaluma ambayo huwa inaaminika kwamba ni mhimili wa 4 yaani media, basi ni vurugu tupu kama chawa la Gsm linalo ji disguise kama chambuzi la clouds fm nalo likamsingizia mwanamke aisyejulikana jina kwamba ni mama wa Ki aziz
Uchawa ni laana walahi, mtu anayedhaniwa kwamba ni journalist basi post hata vitu vya ukweli basi mbona u ki google tu mama wa Ki aziz unampata, why una spread fake news ili uonekane Fabrizio Romano?
View attachment 2257820View attachment 2257822
Mambo ni mengi muda mchache ni vurugu mechi zahapa na pale, makanjanja yaliyoamua kujivika uchawa na kudhalilisha taaluma ambayo huwa inaaminika kwamba ni mhimili wa 4 yaani media, basi ni vurugu tupu kama chawa la Gsm linalo ji disguise kama chambuzi la clouds fm nalo likamsingizia mwanamke aisyejulikana jina kwamba ni mama wa Ki aziz
Uchawa ni laana walahi, mtu anayedhaniwa kwamba ni journalist basi post hata vitu vya ukweli basi mbona u ki google tu mama wa Ki aziz unampata, why una spread fake news ili uonekane Fabrizio Romano?
View attachment 2257820View attachment 2257822
We njaakalihatari ni kiazi!miminazungumzia suala la nani mama yake siyo la usajili, issue hapo ni kanjanja la media ku spread fake news, mama halisi ni huyo mzee aliyefanana na ki aziz
Angalia post no. 29Huyo kanjanja amesema huyo mzee ni bibi yake[emoji23][emoji23][emoji23]
Walikuwa wanakula msosi mkuu ila hapa sijui walikuwa wanafanyajeWe unavyoona kwenye hiyo picha kuna mjadala wanaoujadili au wanapiga msosi?
Hizo ni hasira tuMambo ni mengi muda mchache ni vurugu mechi zahapa na pale, makanjanja yaliyoamua kujivika uchawa na kudhalilisha taaluma ambayo huwa inaaminika kwamba ni mhimili wa 4 yaani media, basi ni vurugu tupu kama chawa la Gsm linalo ji disguise kama chambuzi la clouds fm nalo likamsingizia mwanamke aisyejulikana jina kwamba ni mama wa Ki aziz
Uchawa ni laana walahi, mtu anayedhaniwa kwamba ni journalist basi post hata vitu vya ukweli basi mbona u ki google tu mama wa Ki aziz unampata, why una spread fake news ili uonekane Fabrizio Romano?
View attachment 2257820View attachment 2257822
Unazungumziaje maoni haya?Walikuwa wanakula msosi mkuu ila hapa sijui walikuwa wanafanyajeView attachment 2257982
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Nakuelewa mkuu ila ngoja nikujibu kwa kifupi.Unazungumziaje maoni haya?
KWAJILI YA NINI, KWAJILI YA NANI?
Viongozi wetu wa soka hasa vijana wanapaswa kuwa WAADILIFU kwenye mambo yao.
Hizi picha tunazoonyeshwa mitandaoni kuhusiana na AZIZI KI kweli zimepigwa juzi, jana au leo nchini IVORY COAST?
Huyu Mwanamama anaeonekana ni Wakala wa mchezaji tunaemgombea kweli?
Kuna picha tulizopiga Morocco wakati wa mechi ya Berkane na Asec tukiwa na yule mama agent wa Berkane tunazo bado?
Kupiga picha mahala popote na mchezaji au mtu maarufu ni rahisi sana sikuhizi hasa kama nawe uko industry hiyo ndo kabisaa, unaomba unapiga.
Wakati mchezaji yupo hakuna MKATABA, wakati kuna mkataba hakuna MCHEZAJI. Coincidence au planned?
Kama tumemsajili why hashiki mkataba wetu na kupiga nae picha tukiwa tumemkumbatia kama ilivyo ada yetu?
Kuna jambo haliko sawa na wala hakuna sababu ya kulifanya zaidi ya kampeni za uchaguzi.
Kama mnaanza mapema hivi mkipewa nchi itakuaje? Should we trust the process or project Kama inavyopigiwa debe?
NB: Mpaka sasa hakuna Klabu ya Tanzania imeingia makubaliano na Stephen Aziz Ki ya namna yoyote ile. Unaoendelea kwa Klabu zote Simba na Yanga ni ushamba tu na vitu feki kwa ujinga wetu. PROVE ME WRONG..!!
BIN KAZUMARI.
Huo muda uliotumia kuandika huu upupu ungefanya kazi zingine!Unazungumziaje maoni haya?

Huyu mtoa mada wengine tulishajua tangu siku nyingi ni nutcase , dishi limeyumba .Wee njaakalihatari JINGA kweli, kumbe hujui kuna Bibi na Mama!View attachment 2257960
View attachment 2257962
Ngoja tuoneNakuelewa mkuu ila ngoja nikujibu kwa kifupi.
Mtu msomi, na anajielewa kufanya vitu vyote hivyo halafu mwisho wa siku mchezaji asajiliwi ni zaidi ya kujiabisha. Nimetumia neno pana ya kujiabusha nadhani umeelewa kwanini ninesema anakuwa anajiabisha mwenyewe.
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Mi nimeinukuu tu wala sijaandika mimi na hapo chini kuna jina la mwandishi husikaHuo muda uliotumia kuandika huu upupu ungefanya kazi zingine!
Akili yako iko shida kidogo, nenda ukapate tiba Mhandishi uchwara