kuna mzungu mmoja aliwahi kukomenti "apart from showcasing their big booty and using it as a weapon to capture men,black women have nothing to offer to the world".
nikachukua sekunde kadhaa kutatafakari,baadae nikabaini ni kweli.
sasa hivi kuna kitu Fulani kina-trend ktk ma-social media.wenyewe wanaita "twerking".ukichunguza,utakuta wanaweke wengi wanao share video wakijionyesha waki-twerk,kwa asilimia kubwa ni wanawake weusi wengi wako toka America na wachache ni Latinos toka america ya kusini.
Kwa sasa hii kitu inakuja kwa kasi sana kwa dada zetu wa huku uswahili kwetu.mana wanaona na wanaiga wenzeo wa USA.