Ki-Bob Marley

Ki-Bob Marley

kuna mzungu mmoja aliwahi kukomenti "apart from showcasing their big booty and using it as a weapon to capture men,black women have nothing to offer to the world".

nikachukua sekunde kadhaa kutatafakari,baadae nikabaini ni kweli.

Sasa umeamini kwasababu kasema mzungu? Acha upunguani, unawavunjia heshima wanawake weusi. Wanamchango mkubwa kwenye society kuliko wewe na huyo mzungu wako. Kama hujui, sasa hivi wamejazana universities mpaka wengine wanakosa nafasi.
 
Hivi wakuu hii mitak.o mnayoipenda huwa mnaitumiaje kwenye gemu?😀😀😀😀
 
msulumbwindaa.....inaonekana anafanyiwa maskonjoo.hivi ana motto au wazazi wanajiskiaje kuona picha ya mama yao hivyo.hivi mmewake anafuraia....anawatamanisha maskavenjaa waje kumtibanyoso ako kang'ong'ing'o......kulaa kibogaa
 
Aisee mambo ya ki Bob Marley hayo. Wajameni natafuta nyumba Buguruni na mimi nihamie huko huko.
Uwe tayari kwenda na mafuriko au maji kujaa ndan kipindi cha mvua maana ni kawaida hiyo ndugu
 
Hivi niko kwenye njozi au ninachokiona ndicho kweli kinachotokea?

Gotdamnit! Ntampata wapi huyu?

Nyani Ngabu ilo ndako nina uhakika ndo ili
 
Attachments

  • 1460393699269.jpg
    1460393699269.jpg
    30.6 KB · Views: 39
Kama hujui, sasa hivi wamejazana universities mpaka wengine wanakosa nafasi.
kuna uhusiano gani wa wanawake weusi kujazana kwenye ma- university na kuchezesha makalio yao (twerking)?

huoni kwamba hapo umedhihirisha wewe ni punguani zaidi kuzidi mimi?.
siku nyingine ukimkimbiza chizi usivae taulo.
 
We nyau ndio punguani mkubwa usiye na shukrani hata kwa bi mkubwa wako. Turejee kwenye kauli yako pale juu, umesema mzungu wako kakwambia, "Apart from showcasing their booty and Using it as a weapon to capture men, black women have nothing to offer to the World".
Sasa nikuulize swali, akili zako zimetimia kweli wewe? Maana hata mama yako ni african woman. Kwa taarifa yako kuna wanawake weusi wengi tu wamefanya mambo makubwa duniani kuliko wewe na huyo mzungu koko wako. And twerking is an african way of dancing, not American.
 
Maana hata mama yako ni african woman.
what guarantees you that my mother is a black woman?.
stop shaming yourself by chasing a mad man while wearing a towel with no panty inside.
kama hujaelewa niite,nitakuja kukutafsiria kwa kiswahili,lugha ya mamako.[emoji1]
 
what guarantees you that my mother is a black women?.
stop shaming yourself by chasing a mad man while wearing a towel with no panty inside.
kama hujaelewa niite,nitakuja kukutafsiria kwa kiswahili,lugha ya mamako.[emoji1]

Knock out yourself kadoda11, hata ukijitia uzungu ni bure tu. Hakuna mtu atakeyekubaliana na wewe eti wanawake weusi hawana mchango wowote kwenye hii dunia. Hizi ni kauli za kibaguzi tulizozizoea kila siku, ukikubaliana nazo lazima unamatatizo ya akili. Black women are beautiful and intelligent too.
 
Poa kamanda umesomeka.umeshinda mjadala.respect to all black queens around the world.
 
Back
Top Bottom