Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukute hata hao weupe wanatamani kufanya sema ndo hawana[emoji23] [emoji23]kuna mzungu mmoja aliwahi kukomenti "apart from showcasing their big booty and using it as a weapon to capture men,black women have nothing to offer to the world".
nikachukua sekunde kadhaa kutatafakari,baadae nikabaini ni kweli.
sasa hivi kuna kitu Fulani kina-trend ktk ma-social media.wenyewe wanaita "twerking".ukichunguza,utakuta wanaweke wengi wanao share video wakijionyesha waki-twerk,kwa asilimia kubwa ni wanawake weusi wengi wako toka America na wachache ni Latinos toka america ya kusini.
Kwa sasa hii kitu inakuja kwa kasi sana kwa dada zetu wa huku uswahili kwetu.mana wanaona na wanaiga wenzeo wa USA.
Huyu anapatikana huku kwa wala vumbi anaitwa Snura Mushi mkuu NN
Ndio hao hao akina Mwajuma Ndala ndefuNaye ni mla vumbi na mkanyaga tope?
Umemalizaaaaa...They twerk because they gat booties
Ebwanaa huyo mzungu alikuwa sahihi kwa aslimia zote.kuna mzungu mmoja aliwahi kukomenti "apart from showcasing their big booty and using it as a weapon to capture men,black women have nothing to offer to the world".
nikachukua sekunde kadhaa kutatafakari,baadae nikabaini ni kweli.
sasa hivi kuna kitu Fulani kina-trend ktk ma-social media.wenyewe wanaita "twerking".ukichunguza,utakuta wanaweke wengi wanao share video wakijionyesha waki-twerk,kwa asilimia kubwa ni wanawake weusi wengi wako toka America na wachache ni Latinos toka america ya kusini.
Kwa sasa hii kitu inakuja kwa kasi sana kwa dada zetu wa huku uswahili kwetu.mana wanaona na wanaiga wenzeo wa USA.
...and the sadest part is they know well how to use their booties rather than their brains.They twerk because they gat booties
Watamani upuuzi wa kiafrika?Ukute hata hao weupe wanatamani kufanya sema ndo hawana[emoji23] [emoji23]
Mkuu sio upuuzi burudani lolWatamani upuuzi wa kiafrika?
Hivi niko kwenye njozi au ninachokiona ndicho kweli kinachotokea?
Gotdamnit! Ntampata wapi huyu?