kuna mzungu mmoja aliwahi kukomenti "apart from showcasing their big booty and using it as a weapon to capture men,black women have nothing to offer to the world".
nikachukua sekunde kadhaa kutatafakari,baadae nikabaini ni kweli.
Hivi wakuu hii mitak.o mnayoipenda huwa mnaitumiaje kwenye gemu?😀😀😀😀
....labda useme nikizeeka!🙂Ukikua utajua.....
....labda useme nikizeeka!🙂
Uwe tayari kwenda na mafuriko au maji kujaa ndan kipindi cha mvua maana ni kawaida hiyo nduguAisee mambo ya ki Bob Marley hayo. Wajameni natafuta nyumba Buguruni na mimi nihamie huko huko.
They twerk because they gat booties
YES[emoji125] [emoji125]Do you?
YES[emoji125] [emoji125]
Was kidding,You owe me a good weekend getaway....
Was kidding,
Jus know how to move my hands lol [emoji28]
Hivi niko kwenye njozi au ninachokiona ndicho kweli kinachotokea?
Gotdamnit! Ntampata wapi huyu?
kuna uhusiano gani wa wanawake weusi kujazana kwenye ma- university na kuchezesha makalio yao (twerking)?Kama hujui, sasa hivi wamejazana universities mpaka wengine wanakosa nafasi.
kuna uhusiano gani wa wanawake weusi kujazana kwenye ma- university na kuchezesha makalio yao (twerking)?
huoni kwamba hapo umedhihirisha wewe ni punguani zaidi kuzidi mimi?.
siku nyingine ukimkimbiza chizi usivae taulo.
what guarantees you that my mother is a black woman?.Maana hata mama yako ni african woman.
what guarantees you that my mother is a black women?.
stop shaming yourself by chasing a mad man while wearing a towel with no panty inside.
kama hujaelewa niite,nitakuja kukutafsiria kwa kiswahili,lugha ya mamako.[emoji1]
Poa kamanda umesomeka.umeshinda mjadala.respect to all black queens around the world.Knock out yourself kadoda11, hata ukijitia uzungu ni bure tu. Hakuna mtu atakeyekubaliana na wewe eti wanawake weusi hawana mchango wowote kwenye hii dunia. Hizi ni kauli za kibaguzi tulizozizoea kila siku, ukikubaliana nazo lazima unamatatizo ya akili. Black women are beautiful and intelligent too.