Ki ukweli M23 ndo wazalendo wa Congo ila perception yetu kwao ni hasi kwa sababu fikra zetu ni finyu

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
M23 wanapigania rasilimali zao zisichukiliwe na wazungu kupitia puppets wao akina Tschisekedi na Marais wengine ambao Marekani au Magharibi inawapandikiza.

Ila kwa sababu sisi waafrika hatuangalii mambo kwa mapana tunawaona m23 kwamba eti ndo magaidi.

Afrika aliyeturoga alituua haswaa.
 
M23 wanapigania rasilimali zao zisichukiliwe na wazungu kupitia puppets wao akina tschisekedi na marais wengine ambao mareka au magharibi inawapandikiza.

Ila kwa sababu sisi waafrica hatuangalii mambo kwa mapana tunawaona m23 kwamba eti ndo magaidi.

Africa aliyeturoga alituua haswaa.
Kama sio magaidi wanapoua raia wasiokuwa na hatia hicho ni nini, au ndio kulinda rasilimali za nchi...?
 
Silaha na pesa za kununulia silaha wanazipata wapi hao M23?
Tumia akili basi.
Au hizi propaganda toka kwa mfadhili wao?
Siraha ni za kutetea rasilimali zao zinazoporw kw kutumia pupets kama marais wanaowaweka. Drc ilipanda rais mzalendo mmoja tu ambaye ni Lumumba. Wengine ni puppets kama daraja la kuiba mali
 
M23 wanapigania rasilimali zao zisichukiliwe na wazungu kupitia puppets wao akina tschisekedi na marais wengine ambao mareka au magharibi inawapandikiza.

Ila kwa sababu sisi waafrica hatuangalii mambo kwa mapana tunawaona m23 kwamba eti ndo magaidi.

Africa aliyeturoga alituua haswaa.
Hawawezi kukuelewa, sababu hawajui M23 ni nini, na ilianzishwa kwa minajili gani.
 
M23 wanapigania rasilimali zao zisichukiliwe na wazungu kupitia puppets wao akina Tschisekedi na Marais wengine ambao Marekani au Magharibi inawapandikiza.

Ila kwa sababu sisi waafrika hatuangalii mambo kwa mapana tunawaona m23 kwamba eti ndo magaidi.

Afrika aliyeturoga alituua haswaa.
Labda ulirogwa wewe. Bila shaka wewe ni remnant wa Banyamulenge aliyebaki hapa bongo. Hata historia kidogo tu hujui.
 
Siraha ni za kutetea rasilimali zao zinazoporw kw kutumia pupets kama marais wanaowaweka. Drc ilipanda rais mzalendo mmoja tu ambaye ni Lumumba. Wengine ni puppets kama daraja la kuiba mali
Umeelewa swali kweli wewe kilaza?umeulizwa hizo silaha na fedha nyingine za kuendesha vita miaka yote wanazipata wapi?
 
Kwani africa hakuna siraha? Sisi waafrica tunafanya nini sasa hapa duniani kama hata siraha tu hatuna
 
Back
Top Bottom