Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Wewe umejibu swali.Wanauza madini, wanapata pesa, wananunua silaha na zinapita hapa hapa bongo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umejibu swali.Wanauza madini, wanapata pesa, wananunua silaha na zinapita hapa hapa bongo.
Unafikiri M23 atauwa ndugu wa mfadhili wao?Nilishangaa M23 waliwakamata wanajeshi wazungu walioletwa kupambana nao lakini waliwadhibiti na kuwarudisha kwao salama na wakaambia wakirudi tena watawaweka mateka.
Wanauza madiniSilaha na pesa za kununulia silaha wanazipata wapi hao M23?
Tumia akili basi.
Au hizi propaganda toka kwa mfadhili wao?
Endeleeni kutesa raia siku wakiamka kuwageuzia kibao muwaite waasiUnafikiri M23 atauwa ndugu wa mfadhili wao?
Haogopi kuuwa beberu?
Jibu sahihi.Wanauza madini
Watutsi mmevamia humu!M23 wanapigania rasilimali zao zisichukiliwe na wazungu kupitia puppets wao akina Tschisekedi na Marais wengine ambao Marekani au Magharibi inawapandikiza.
Ila kwa sababu sisi waafrika hatuangalii mambo kwa mapana tunawaona m23 kwamba eti ndo magaidi.
Afrika aliyeturoga alituua haswaa.
Sahihi kabisa, hii inaonyesha ukomavu wa kijeshi na mafunzo sahihi. Alafu kuna watu wazushi na propaganda zao ovu wanawaita "M23 waasi!?"Nilishangaa M23 waliwakamata wanajeshi wazungu walioletwa kupambana nao lakini waliwadhibiti na kuwarudisha kwao salama na wakaambia wakirudi tena watawaweka mateka.
Mfadhili wao ni nani?Unafikiri M23 atauwa ndugu wa mfadhili wao?
Haogopi kuuwa beberu?
Tueleze vizuri hao M23 wanapigana na nani? Na hizo rasilimali wakishazivuna wanapeleka wapi?M23 wanapigania rasilimali zao zisichukiliwe na wazungu kupitia puppets wao akina Tschisekedi na Marais wengine ambao Marekani au Magharibi inawapandikiza.
Ila kwa sababu sisi waafrika hatuangalii mambo kwa mapana tunawaona m23 kwamba eti ndo magaidi.
Afrika aliyeturoga alituua haswaa.
Kwa hiyo huna uhakika ni Marekani au magharibi imewapandikiza hao Tschisekedi na maraisi wengine (akina nani hao?)?M23 wanapigania rasilimali zao zisichukiliwe na wazungu kupitia puppets wao akina Tschisekedi na Marais wengine ambao Marekani au Magharibi inawapandikiza.
Ila kwa sababu sisi waafrika hatuangalii mambo kwa mapana tunawaona m23 kwamba eti ndo magaidi.
Afrika aliyeturoga alituua haswaa.
Wanapigana na mapapet wa africa kama akina tshisekedi wa kuiba madini na kuwakimbizia wazungu na kujineemesha peke yao wakati wanachi wako kwenye lindi la umaskini. Hivyo wanapigania wanachi kwa maana nyingineEbu
Tueleze vizuri hao M23 wanapigana na nani? Na hizo rasilimali wakishazivuna wanapeleka wapi?
Marekani na magharibi no kitu kimona thru G3, G4, au G5 hapa ndo tunapigwa na kigawanywaKwa hiyo huna uhakika ni Marekani au magharibi imewapandikiza hao Tschisekedi na maraisi wengine (akina nani hao?)?
Kwahiyo Rwanda isinunue madini kutoka Congo?Congo madini yanaibiwa au hayaibiwi? Kama yanaibiwq, yanapitia wapi airport ipi? Za Congo or Rwanda? Ukimaliza, nenda kaangalie kati ya Congo na Rwanda nani kauza dhahabu nyingi Dubai au kwenye soko la dunia, ukipata jibu, nenda kajiridhishe kama Rwanda wana ardhi yeyote yenye dhahabu. Again, kama wao wanalinda rasilimali zisiibiwe Congo, why Kagame mkali sana hati kuitishia Africa kusini? Nonsense. Marais wa AU wangejiuliza, what are they doing in the office?
Wanauza madini kibao ulanga, lithium dhahabu nk.Goma kuna utajiri mkubwa wa madini.Silaha na pesa za kununulia silaha wanazipata wapi hao M23?
Tumia akili basi.
Au hizi propaganda toka kwa mfadhili wao?
Fanya kutushawishi tuone kama usemalo ni kweli, weka hoja na vielelezo.M23 wanapigania rasilimali zao zisichukiliwe na wazungu kupitia puppets wao akina Tschisekedi na Marais wengine ambao Marekani au Magharibi inawapandikiza.
Ila kwa sababu sisi waafrika hatuangalii mambo kwa mapana tunawaona m23 kwamba eti ndo magaidi.
Afrika aliyeturoga alituua haswaa.