Ed Kawiche
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 2,987
- 5,566
M23 ni taasisi kama taasisi yoyote unayoijua.Ebu
Tueleze vizuri hao M23 wanapigana na nani? Na hizo rasilimali wakishazivuna wanapeleka wapi?
Juilize taasisi yoyote inapataje pesa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
M23 ni taasisi kama taasisi yoyote unayoijua.Ebu
Tueleze vizuri hao M23 wanapigana na nani? Na hizo rasilimali wakishazivuna wanapeleka wapi?
Waulize CCM wanapata wapi pesa za kununua V8 hao wanaume wa M23 hawakuhusuUmeelewa swali kweli wewe kilaza?umeulizwa hizo silaha na fedha nyingine za kuendesha vita miaka yote wanazipata wapi?
Mkuu kusema madini yanaibiwa sio kweli makampuni yanayochimba madini Congo yapo kisheria, hiyo mikataba wameingia na waasi? Ila kwa sababu waafrika hatujawahi kufanya tafiti ndio maana hakuna anaejua kinachoendelea congo. Sehem zote zenye vita utaambiwa udini na ukabila sababu wanajua hicho ndio wahusika wanakielewa kwa urahisi na kuwapotosha. Kama Rwanda angekuwa anaweza kuiba hayo madini kama inavyo semwa, nchi nyingine ambazo ziko powerful zingeshindwa nini? Huyo kagame ana nini cha mno haswa? Viongozi wa congo wana mkono wao na ndio wafaidika wakuu.Congo madini yanaibiwa au hayaibiwi? Kama yanaibiwq, yanapitia wapi airport ipi? Za Congo or Rwanda? Ukimaliza, nenda kaangalie kati ya Congo na Rwanda nani kauza dhahabu nyingi Dubai au kwenye soko la dunia, ukipata jibu, nenda kajiridhishe kama Rwanda wana ardhi yeyote yenye dhahabu. Again, kama wao wanalinda rasilimali zisiibiwe Congo, why Kagame mkali sana hati kuitishia Africa kusini? Nonsense. Marais wa AU wangejiuliza, what are they doing in the office?
Hili Ni jibu sahihi zaidi kati ya yote yaliyo tolewa.Wanauza madini kibao ulanga, lithium dhahabu nk.Goma kuna utajiri mkubwa wa madini.
Sema inchi wanayotumia ku export ni Rwanda. Hapo ndio Rwanda anapokuwa implicated kwenye equation
We inaonekana umetoroka MirembeM23 wanapigania rasilimali zao zisichukiliwe na wazungu kupitia puppets wao akina Tschisekedi na Marais wengine ambao Marekani au Magharibi inawapandikiza.
Ila kwa sababu sisi waafrika hatuangalii mambo kwa mapana tunawaona m23 kwamba eti ndo magaidi.
Afrika aliyeturoga alituua haswaa.
shut-up!!M23 wanapigania rasilimali zao zisichukiliwe na wazungu kupitia puppets wao akina Tschisekedi na Marais wengine ambao Marekani au Magharibi inawapandikiza.
Ila kwa sababu sisi waafrika hatuangalii mambo kwa mapana tunawaona m23 kwamba eti ndo magaidi.
Afrika aliyeturoga alituua haswaa.
Wewe ndio umefanya congulution, mimi nimeuliza maswali hapo ju. Nisaidie majibu ya maswali yangu, achana na Waafrica sijui hawafanyi research or what. Nimeuliza mwishoni, Kagame why kawa mkali while haibi, mgogoro haumuhusu? Jikite humo, tuachane na assumptions za Uafrica wetuMkuu kusema madini yanaibiwa sio kweli makampuni yanayochimba madini Congo yapo kisheria, hiyo mikataba wameingia na waasi? Ila kwa sababu waafrika hatujawahi kufanya tafiti ndio maana hakuna anaejua kinachoendelea congo. Sehem zote zenye vita utaambiwa udini na ukabila sababu wanajua hicho ndio wahusika wanakielewa kwa urahisi na kuwapotosha. Kama Rwanda angekuwa anaweza kuiba hayo madini kama inavyo semwa, nchi nyingine ambazo ziko powerful zingeshindwa nini? Huyo kagame ana nini cha mno haswa? Viongozi wa congo wana mkono wao na ndio wafaidika wakuu.
Kagame anawaona wafrica ni wasenge. Madini yanaibiwa na wazungu kupitiq mgogoro na kuwaambinisha m23 kwamba ni waasi kumbe ndo wazalendo wanatetea nchi na mali zilizomoWewe ndio umefanya congulution, mimi nimeuliza maswali hapo ju. Nisaidie majibu ya maswali yangu, achana na Waafrica sijui hawafanyi research or what. Nimeuliza mwishoni, Kagame why kawa mkali while haibi, mgogoro haumuhusu? Jikite humo, tuachane na assumptions za Uafrica wetu
Naomba nisichangie tena kaka; tubaki kuamini kila mtu na anacho kijuaKagame anawaona wafrica ni wasenge. Madini yanaibiwa na wazungu kupitiq mgogoro na kuwaambinisha m23 kwamba ni waasi kumbe ndo wazalendo wanatetea nchi na mali zilizomo
Umeandika upumbavu mtupuM23 wanapigania rasilimali zao zisichukiliwe na wazungu kupitia puppets wao akina Tschisekedi na Marais wengine ambao Marekani au Magharibi inawapandikiza.
Ila kwa sababu sisi waafrika hatuangalii mambo kwa mapana tunawaona m23 kwamba eti ndo magaidi.
Afrika aliyeturoga alituua haswaa.
Mkuu siwezi kujibu maswali ambayo binafsi naona haya mambo yako beyond ya akili ya wengi, siwezi kujibu swali lako moja kwa moja, endelea kuamini unavyoamini. Kama unaona research haina umuhimu means majibu ya maswali yako unayo mwenyeweWewe ndio umefanya congulution, mimi nimeuliza maswali hapo ju. Nisaidie majibu ya maswali yangu, achana na Waafrica sijui hawafanyi research or what. Nimeuliza mwishoni, Kagame why kawa mkali while haibi, mgogoro haumuhusu? Jikite humo, tuachane na assumptions za Uafrica wetu
Kama sio magaidi wanapoua raia wasiokuwa na hatia hicho ni nini, au ndio kulinda rasilimali za nchi...?
M23 ni wanaume.M23 wanapigania rasilimali zao zisichukiliwe na wazungu kupitia puppets wao akina Tschisekedi na Marais wengine ambao Marekani au Magharibi inawapandikiza.
Ila kwa sababu sisi waafrika hatuangalii mambo kwa mapana tunawaona m23 kwamba eti ndo magaidi.
Afrika aliyeturoga alituua haswaa.
Ukweli mtupu, wale ni watusi wa Congo, wanahaki ya kujilinda, tatizo serikali kuu Kinshasa inawaona kama wavamizi kutoka Rwanda, kisa,wanaongea kitusi! Ni sawa uwafukuze wa Masai wa Arusha, kwa sababu wanaongea kimasai kama wa Masai wa Kenya!M23 wanapigania rasilimali zao zisichukiliwe na wazungu kupitia puppets wao akina Tschisekedi na Marais wengine ambao Marekani au Magharibi inawapandikiza.
Ila kwa sababu sisi waafrika hatuangalii mambo kwa mapana tunawaona m23 kwamba eti ndo magaidi.
Afrika aliyeturoga alituua haswaa.
Mkuu siwezi kujibu maswali ambayo binafsi naona haya mambo yako beyond ya akili ya wengi, siwezi kujibu swali lako moja kwa moja, endelea kuamini unavyoamini. Kama unaona research haina umuhimu means majibu ya maswali yako unayo mwenyewe
Hawaii raia wa kawaida wale. Tena wanawatetea raia walinde rasilimali zao. Wanaua mamluki wanaotumwa na mabeberu kuiba mali
ila zichukuliwe na kagame ndo awape wazungu??M23 wanapigania rasilimali zao zisichukiliwe na wazungu kupitia puppets wao akina Tschisekedi na Marais wengine ambao Marekani au Magharibi inawapandikiza.
Ila kwa sababu sisi waafrika hatuangalii mambo kwa mapana tunawaona m23 kwamba eti ndo magaidi.
Afrika aliyeturoga alituua haswaa.