Kama sio magaidi wanapoua raia wasiokuwa na hatia hicho ni nini, au ndio kulinda rasilimali za nchi...?M23 wanapigania rasilimali zao zisichukiliwe na wazungu kupitia puppets wao akina tschisekedi na marais wengine ambao mareka au magharibi inawapandikiza.
Ila kwa sababu sisi waafrica hatuangalii mambo kwa mapana tunawaona m23 kwamba eti ndo magaidi.
Africa aliyeturoga alituua haswaa.
Hawaii raia wa kawaida wale. Tena wanawatetea raia walinde rasilimali zao. Wanaua mamluki wanaotumwa na mabeberu kuiba maliKama sio magaidi wanapoua raia wasiokuwa na hatia hicho ni nini, au ndio kulinda rasilimali za nchi...?
Siraha ni za kutetea rasilimali zao zinazoporw kw kutumia pupets kama marais wanaowaweka. Drc ilipanda rais mzalendo mmoja tu ambaye ni Lumumba. Wengine ni puppets kama daraja la kuiba maliSilaha na pesa za kununulia silaha wanazipata wapi hao M23?
Tumia akili basi.
Au hizi propaganda toka kwa mfadhili wao?
Hawawezi kukuelewa, sababu hawajui M23 ni nini, na ilianzishwa kwa minajili gani.M23 wanapigania rasilimali zao zisichukiliwe na wazungu kupitia puppets wao akina tschisekedi na marais wengine ambao mareka au magharibi inawapandikiza.
Ila kwa sababu sisi waafrica hatuangalii mambo kwa mapana tunawaona m23 kwamba eti ndo magaidi.
Africa aliyeturoga alituua haswaa.
Nionyeshe M23 wakiua raia kwenye haya mapiganoKama sio magaidi wanapoua raia wasiokuwa na hatia hicho ni nini, au ndio kulinda rasilimali za nchi...?
Hizo ni propaganda.Kagame yupo humu hakyanani?
Labda ulirogwa wewe. Bila shaka wewe ni remnant wa Banyamulenge aliyebaki hapa bongo. Hata historia kidogo tu hujui.M23 wanapigania rasilimali zao zisichukiliwe na wazungu kupitia puppets wao akina Tschisekedi na Marais wengine ambao Marekani au Magharibi inawapandikiza.
Ila kwa sababu sisi waafrika hatuangalii mambo kwa mapana tunawaona m23 kwamba eti ndo magaidi.
Afrika aliyeturoga alituua haswaa.
Umeelewa swali kweli wewe kilaza?umeulizwa hizo silaha na fedha nyingine za kuendesha vita miaka yote wanazipata wapi?Siraha ni za kutetea rasilimali zao zinazoporw kw kutumia pupets kama marais wanaowaweka. Drc ilipanda rais mzalendo mmoja tu ambaye ni Lumumba. Wengine ni puppets kama daraja la kuiba mali
Kwani africa hakuna siraha? Sisi waafrica tunafanya nini sasa hapa duniani kama hata siraha tu hatunaUmeelewa swali kweli wewe kilaza?umeulizwa hizo silaha na fedha nyingine za kuendesha vita miaka yote wanazipata wapi?
Wanauza madini, wanapata pesa, wananunua silaha na zinapita hapa hapa bongo.Umeelewa swali kweli wewe kilaza?umeulizwa hizo silaha na fedha nyingine za kuendesha vita miaka yote wanazipata wapi?
Siraha ni kitu gani?Kwani africa hakuna siraha? Sisi waafrica tunafanya nini sasa hapa duniani kama hata siraha tu hatuna
Kwa hiyo wanauza ambacho wanapigania kisiuzwe na wengine.Wanauza madini, wanapata pesa, wananunua silaha na zinapita hapa hapa bongo.
M23 wanaua raia gani?Kama sio magaidi wanapoua raia wasiokuwa na hatia hicho ni nini, au ndio kulinda rasilimali za nchi...?
Mguu wa kukuSiraha ni kitu gani?
Nilishangaa M23 waliwakamata wanajeshi wazungu walioletwa kupambana nao lakini waliwadhibiti na kuwarudisha kwao salama na wakaambia wakirudi tena watawaweka mateka.Nionyeshe M23 wakiua raia kwenye haya mapigano