Ki ukweli M23 ndo wazalendo wa Congo ila perception yetu kwao ni hasi kwa sababu fikra zetu ni finyu

Siraha ni za kutetea rasilimali zao zinazoporw kw kutumia pupets kama marais wanaowaweka. Drc ilipanda rais mzalendo mmoja tu ambaye ni Lumumba. Wengine ni puppets kama daraja la kuiba mali
Hizo silaha walizonazo m23 ni mpyaa zinatoka kwa mzungu moja kwa moja
wakiteka sehemu wanateka na migodi wanachimba wanapeleka madini ulaya kupitia Rwanda.
madini ya kupora yana bei raiisii nyie😂😂
 
Kwa sababu sio waislamu?

Wale sio mazombi wa dini ya muarabu kama nyie mlivyo. Hiyo DRC ima magaidi wa waislamu ambao huchinja wanavijiji ila hawa MRC wanapoteka sehemu wanapokelewa na wananchi na kushangiliwa.
 
Right ✅️
 
Kasome historia hacha mbwembwe
 
Siraha ni za kutetea rasilimali zao zinazoporw kw kutumia pupets kama marais wanaowaweka. Drc ilipanda rais mzalendo mmoja tu ambaye ni Lumumba. Wengine ni puppets kama daraja la kuiba mali
Nani alikwambia Lumumba alishawahi kuwa Rais wa Congo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…