Kia wamezidua PV5 EV: Hii ni kwa wapenzi wa family Van!

Kia wamezidua PV5 EV: Hii ni kwa wapenzi wa family Van!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Kia wamezindua PV5, bonge moja la electric van kusema kweli kamenivutia muonekano na practicality.
IMG_8664.jpeg

Inakuja na electric motor moja, battery utachagua 51kWh au 71kWh, itakufikisha hadi kilometa 400, DC fast charging system ya 150kW ambayo utachaji 10%-80% kwa dk 30 kwenye platform mpya kabisa ya PBV kutoa Kia.
IMG_8671.jpeg

Kwa ndani kuna 7.5 inch instrument cluster na 12 inch infotainment touchscreen ikiwa na Android Automotive OS.
IMG_8670.jpeg

Practically hii gari ni module. Unaweza kuigeuza matumizi kihurahisi sana. Unaweza itumia kwa kusafirisha abiria, mzigo, na ina WAV (Wheelchair Accessible Vehicle) zote unahamua wewe.
IMG_8668.jpeg

Uzuri Kia wataziuza Japan, kwahiyo kutakua na RHD sio kama ambavyo wanauzaga LHD siku zote na bei itaanzia $35,000 na kuendelea.
IMG_8665.jpeg

Pamoja.
 
Back
Top Bottom