Kama bado hamjapata mtoto basi:-
1. Mkiwa jikoni pigeni show
2. Chakula kikiwa mezani pigeni show
3. Mkienda bafuni pigeni show
Kama nyumba unayoishi ina fensi na mko peke yenu na bila mtoto, basi hata nje ya nyumba pigeni show
Kwa ufupi hako ka mchezo hakanaga ratiba. Huwa kanaathiriwa tu na ratiba za wachezaji na idadi ya wanafamilia unao ishi nao. Kama familia ni kubwa kiasi kwamba wengine wanalala sebuleni vichwa vyao vikielekea chumba chako ni ngumu kukacheza. Maana huwa kanaambatana na kelele za aina yake.