Kiafya na kistaarabu, inastahili kukutana na mwenza wako mara ngapi?

Kiafya na kistaarabu, inastahili kukutana na mwenza wako mara ngapi?

Hakuna ratiba hapo!!.....any time mkiwa tayari kimwili na kiakili.
 
nikishinda home bila kwenda job basi huwa nakeshea haka kamchezo!!!

UKIWA NA MUDA,FANYA MARA NYINGI UWEZAVYO!
 
Yaani lol, acheni jua la utosi litupige tu sasa maana hakuna namna.
 
Kama bado hamjapata mtoto basi:-
1. Mkiwa jikoni pigeni show
2. Chakula kikiwa mezani pigeni show
3. Mkienda bafuni pigeni show
Kama nyumba unayoishi ina fensi na mko peke yenu na bila mtoto, basi hata nje ya nyumba pigeni show
Kwa ufupi hako ka mchezo hakanaga ratiba. Huwa kanaathiriwa tu na ratiba za wachezaji na idadi ya wanafamilia unao ishi nao. Kama familia ni kubwa kiasi kwamba wengine wanalala sebuleni vichwa vyao vikielekea chumba chako ni ngumu kukacheza. Maana huwa kanaambatana na kelele za aina yake.
Mkuu umetisha balaa😀😀😀😀😀😀😀
 
kwa wanaume mahitaji yetu kwenye hii kitu ni makubwa sana tunahiyaji almost kila siku lakini wanawake wanakinai mapema ndo kazi inapoanzia hapo kutafuta michepuko. Wadada badilikeni bana muendane na kasi yetu
 
Kila inaposomwa bajeti mpya ya Mwaka wa fedha wa serikali!
Unaangali tu ongezeko la kodi kwenye pombe, basi ile asimlimia unaizidiaha Mara mbili!
Hivyo jibu la hapo ndo idadi inayotakiwa kwa huo mwaka wa Fedha
 
Ngoja nimalize kumuingilia mtu hapa alafu nitakuja kukujuza
 
Kiafya ni mara moja na nusu kwa wiki mara tatu.
 
Kiafya mara 3 kwa wiki.
Ukipiga show kila siku ni rahisi kuchokana na kuanza kumezea mate michepuko
 
Mara mbili kwa mwezi. Nimekusaidia huku nakuonea huruma inawezekana dushelele yako ni mbofu mbofu
 
Back
Top Bottom