teetotaller
JF-Expert Member
- Dec 16, 2014
- 307
- 204
Hakuna ratiba hapo!!.....any time mkiwa tayari kimwili na kiakili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka upige simu! Ashki zitakaa zinamsubiri mpaka ajiandae, aende saluni, apande daladala na foleni zilivyo ndeeefu. Mkuu unatakiwa uweke kitu ndani unaposikia kiu, fasta unawahi bila ajizi.Me sina ratiba maalumu. nikijisikia tuu nampigia simu
Mkuu umetisha balaa😀😀😀😀😀😀😀Kama bado hamjapata mtoto basi:-
1. Mkiwa jikoni pigeni show
2. Chakula kikiwa mezani pigeni show
3. Mkienda bafuni pigeni show
Kama nyumba unayoishi ina fensi na mko peke yenu na bila mtoto, basi hata nje ya nyumba pigeni show
Kwa ufupi hako ka mchezo hakanaga ratiba. Huwa kanaathiriwa tu na ratiba za wachezaji na idadi ya wanafamilia unao ishi nao. Kama familia ni kubwa kiasi kwamba wengine wanalala sebuleni vichwa vyao vikielekea chumba chako ni ngumu kukacheza. Maana huwa kanaambatana na kelele za aina yake.
Acha kuleta mambo ya instagram humuBe the first to comment...
instagram ndio nini?Acha kuleta mambo ya instagram humu
Habari ya mjiniinstagram ndio nini?