Jane nilikuona kwny Tv bhana Monduli, umzuri sana japo ulivaa kimasaii!!Kuna watu bado wanavaa chupi?
umetisha sana mukubwa ๐ฅ๐ช๐Siku moja nguo yeye unachovaa ndani kama boxer ,soksi ,singlend.
Kila mwezi nanua boxers mpya naweza nunua hata pk mbili jumla zipo sita ,soksi ninazo kama pair 7 hivi na sio hizi za shule ni zile high quality .
Singlendi nazo ninazo saba kila siku nabadlili inaleta raha yaani unakuwa na internal peace๐ ๐
Sio hizo za jero jeroSiku moja nguo yeye unachovaa ndani kama boxer ,soksi ,singlend.
Kila mwezi nanua boxers mpya naweza nunua hata pk mbili jumla zipo sita ,soksi ninazo kama pair 7 hivi na sio hizi za shule ni zile high quality .
Singlendi nazo ninazo saba kila siku nabadlili inaleta raha yaani unakuwa na internal peace๐ ๐
Soksi nabadili kila baada ya siku 3, Box ya ndani the same kila baada ya siku 3. nina box 5 (nikifua zote, nina huakika wa kutoboa week 2 ndio nafua tena), soksi ninazo 3