Kiafya sex inaweza kumkondesha mwanamke

Kiafya sex inaweza kumkondesha mwanamke

Jamani nimekua nikijiuliza sana hiki kitu mwanamke kama ana ingiliwa kila siku kimwili inaweza kupolekea yeye kukonda yani mwili kupungua uzito
Kama unapata show za adabu utapungua.
Usiwe mvivu na mume wako asiwe mvivu.

Labda muwe mnapigana ngumi za Kinondoni!

Ila hutegemeana na mwili wa mhusika, wengine ndiyo huzidi kuongezeka.
 
Unaweza kukonda kama unaamshwa usiku wa manane bila kupenda, unaingiliwa bila kuandaliwa, anaekuingilia humpendi, kumchoka anaekuingilia, kuingiliwa bila ya ridhaa yako e. t. c!
Sasa kula nakula ila kila siku naingiliwa jmn ndo namaaana nimeuliza maana naona nakonda
 
Back
Top Bottom