SK2016
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 8,016
- 13,780
Kama unapata show za adabu utapungua.Jamani nimekua nikijiuliza sana hiki kitu mwanamke kama ana ingiliwa kila siku kimwili inaweza kupolekea yeye kukonda yani mwili kupungua uzito
Usiwe mvivu na mume wako asiwe mvivu.
Labda muwe mnapigana ngumi za Kinondoni!
Ila hutegemeana na mwili wa mhusika, wengine ndiyo huzidi kuongezeka.