Kiakili una uwezo kiasi gani? Ngoja tuone

mimi niliwahi kutengeneza subwoofer moja matata sana kwa kutumia pipa [emoji23][emoji23]

eenhe! wewe unaweza?!
[emoji4]
 
Nimetumia akili yangu kugundua kuwa dawa ya kuku anayeumwa kitoga ni kumnyonyoa mkia tu basi......toa manyoya yote ya mkiani na atapona mara moja.

Elimu haijanisaidia sana kimaisha zaidi ya kunigeuza kuwa msaidia watu nisiyechoka.....nikianza kumsaidia mtu mpaka atanifukuza yeye mwenyewe
 
[emoji23][emoji23]
 
Novel writer
 
Nimetengeneza watoto Kwa kweli nimejiona genius
 
Nimebuni automatic eggs incubator nmebuni mashine kwa bei nafuu, na sakiti ya kugeuza mayai na ya exhaust nime design mwnyw.

Nimebuni amplifier, inverter, manual eggs incubator, n.k

Saiv niko na project ya kufua umeme
 
Kitoga ni ugonjwa gani mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…