KIAMA KWA MAGAIDI: Eneo la kuwanyongea Magaidi laandaliwa huko Israel

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Huduma ya Magereza ya Israeli imeanza maandalizi ya vifaa na uendeshaji kwa ajili ya utekelezaji wa hukumu ya kuwanyonga mpaka kifo magaidi inayowezekana kufuatia kusomwa kwa muswada wa kwanza wa Knesset unaoidhinisha adhabu ya kunyongwa mpaka kifo kwa magaidi katika kesi za ugaidi. Maandalizi ni pamoja na mipango ya shirika, mafunzo ya wafanyakazi wanyongaji na uwezekano wa kuanzishwa kwa kituo maalum cha utekelezaji ndani ya mfumo wa magereza.

Kulingana na ripoti, utekelezaji wa hukumu hizo utafanywa kwa kunyongwa kwa kamba wakati magaidi wengine wakishuhudia, ukihusisha maafisa watatu wa gereza waliofunzwa kwa hiari kwa ajili ya kazi hiyo. Chini ya sheria iliyopendekezwa, hukumu hizo zinaweza kutekelezwa ndani ya siku 90 baada ya uamuzi wa mwisho, ambao awali uliwahusu wanachama wa Hamas Nukhba waliohusika katika mauaji ya Oktoba 7, na uwezekano wa kupanuliwa kwa magaidi wengine waliohukumiwa baadaye ambao nao watanyongwa mpaka kufa.

Hii ni hatua nzuri kwa Israel ikumbukwe hapo awali Israel ilikuwa haiwanyongi magaidi badala yake walikuwa wanafungwa tu vifungo virefu kitu ambao magaidi hao walikuwa wanakifurahia.

Kwa sasa adhabu hii itakuwa nzuri sana kwao!!!

IMG_20260210_073904_802.jpg
 
Imagine wewe hauna hatia,umetekwa na magaidi umepelekwa kwenye kambi zao ukafundishwa ugaidi ukikataa uuawe,unatumwa mission kufanya ugaidi bahati mbaya unakamatwa unahukumiwa kunyongwa, hapo utajisikiaje?
 
Kitendo cha kufundishwa (radicalization) tayali umeingia kwenye hatia
 
Huduma ya Magereza ya Israeli imeanza maandalizi ya vifaa na uendeshaji kwa ajili ya utekelezaji wa hukumu ya kuwanyonga mpaka kifo magaidi inayowezekana kufuatia kusomwa kwa muswada wa kwanza wa Knesset unaoidhinisha adhabu ya kunyongwa mpaka kifo kwa magaidi katika kesi za ugaidi. Maandalizi ni pamoja na mipango ya shirika, mafunzo ya wafanyakazi wanyongaji na uwezekano wa kuanzishwa kwa kituo maalum cha utekelezaji ndani ya mfumo wa magereza.

Kulingana na ripoti, utekelezaji wa hukumu hizo utafanywa kwa kunyongwa kwa kamba wakati magaidi wengine wakishuhudia, ukihusisha maafisa watatu wa gereza waliofunzwa kwa hiari kwa ajili ya kazi hiyo. Chini ya sheria iliyopendekezwa, hukumu hizo zinaweza kutekelezwa ndani ya siku 90 baada ya uamuzi wa mwisho, ambao awali uliwahusu wanachama wa Hamas Nukhba waliohusika katika mauaji ya Oktoba 7, na uwezekano wa kupanuliwa kwa magaidi wengine waliohukumiwa baadaye ambao nao watanyongwa mpaka kufa.

Hii ni hatua nzuri kwa Israel ikumbukwe hapo awali Israel ilikuwa haiwanyongi magaidi badala yake walikuwa wanafungwa tu vifungo virefu kitu ambao magaidi hao walikuwa wanakifurahia.

Kwa sasa adhabu hii itakuwa nzuri sana kwao!!!

View attachment 3541944

Biblia inafundisha kuhusu haki na huruma, si masharti ya binadamu ya kutesa wengine. Yesu alisema:

Mathayo 5:7 “Wenye huruma watabarikiwa, maana wao watapata huruma.”

Mathayo 5:44 “Lakini mimi nawambia: Mpende adui zenu, na mliombe wale wanaowadhalilisha.”

Wagalatia 6:7 “Mtu hawezi kumdanganya Mungu; kile mtu anavyopanda, yeye pia ndicho atakavyovuna.”

Hii inaonyesha Biblia inahimiza huruma, si kutesa kwa uhasama.

Kinyume na kejeli yako, kudhalilisha au kunyonga wanyama wengine haifai kwa mwanga wa Biblia.

Haki ya kweli ni ile inayopatikana kwa Mungu, si mikono ya mwanadamu.
 
Gaidi ni nani kwani?...hakuna binadamu anayezaliwa akiwa gaidi
Mpaka leo hii wewe bado hawajui magaidi? Nani Aliyekuambia kuna watu wanazaliwa wakiwa Magaidi?
 
Mathayo 5:7 “Wenye huruma watabarikiwa, maana wao watapata huruma.”

Mathayo 5:44 “Lakini mimi nawambia: Mpende adui zenu, na mliombe wale wanaowadhalilisha.”

Wagalatia 6:7 “Mtu hawezi kumdanganya Mungu; kile mtu anavyopanda, yeye pia ndicho atakavyovuna.”

Hii inaonyesha Biblia inahimiza huruma, si kutesa kwa uhasama.

Kinyume na kejeli yako, kudhalilisha au kunyonga wanyama wengine haifai kwa mwanga wa Biblia.

Haki ya kweli ni ile inayopatikana kwa Mungu, si mikono ya mwanadamu.
Ujinga na Upumbavu ndiyo unawasumbua!!! Nchi za kiarabu wanaponyonga watu hata kusema Neno moja tu hakuna Juzi tu watawala wa Iran Wamenyonga waandamanaji lakini hamkusema Neno leo hii Israel imeamua kunyonga Magaidi wote walioshiriki mauaji ya Oct 07,2023 tayari mmepanua midomo yenu na kuanza kukariri maandiko utafikiri Wayahudi wanamjua huyo Yesu wako!!! Wayahudi hawana Biblia wao wana Tanak

Hata kama wangekuwa wanatumia Biblia kwa Magaidi kunyongwa ilikuwa halali Yao kabisa wangenyongwa tu bila huruma.

Magaidi hao walikuwa wanajua minis ha sana kwa sababu Israel ilikuwa hawa nyingi watu walikuwa wanaunga tu hivyo walikuwa wanafurahia kufanya Ugaidi kwa wana wa Israel,. Lakini baada ya kubadirisha sheria na kuwapangia adhabu ya Kifo kwa yeyote anayefanya Ugaidi au kuua mtu lazima anyongwe hadharani na wahalifu na ndugu zake wakishuhudia akining’inizwa kwenye Kamba sasa hivi nawaona wameanza kutoa milio!!!!
 
Matusi hayabadili dhulma kuwa haki.

Katika Uislamu, kuua bila hukumu ya haki ni haramu, hata kwa adui. “Msije mkachukia watu ukakufanya muache uadilifu.” (Qur’an 5:8)

Tanakh yenu inasema: Msimuue asiye na hatia.” (Kutoka 23:7)

Sheria kali, hasira au shangwe ya kunyonga havigeuzi dhulma kuwa haki.

Kama haki inalindwa kwa kuua bila mipaka, basi hiyo si haki ya Mungu, ni kisasi cha mwanadamu.

Hasira ya mwanadamu haitendi haki ya Mungu.”
(Yakobo 1:20)

Haki hubaki haki, dhulma hubaki dhulma — bila kujali nani anafanya.
 
Naona mmeanza kutoa Milio!!!!

Pamoja na wewe kutoa maandiko na aya za dini haiwasaidii chochote magaidi walioshiriki mauaji ya Oct 07,2023 hao lazima tu wataning’inizwa kwenye Kamba mpaka wafe huko kutakuwa kuwapa haki yao ya msingi waliua nao lazima tu nao wauwawe bila huruma!!!

Kwanza wao wakinyongwa wanapata faida kubwa sana kulingana na Quran yenu wakifa Watakabidhiwa Mabikira 72 wawabikiri Pili wataenda Peponi sasa ninyi mna chukia anini wakinyongwa? Au unawaonea wivu kwa kuwa wataenda kukabidhi wa Mabikira 72 wawabikiri?? Acha wivu wako Acha wanyongwe tu wavune walichopanda Oct 07,2023!,
 
Sijui kwanini watu wana symphatize na hao magaidi ila wale watu wana Roho ya kinyama sana. Hata mimi ningekuwa huko Israel ningejitolea kama mfanyakazi maalum wa kufanya execution za hao terrorists. Tena nilivyo na fantasy za ajabu nammwaga ubongo mmoja wao halafu halafu nawaambia magaidi wengine waule na kulamba damu yote chini hadi floor iwe safi👹👹😛😛.. Yaani hao magaidi ningewaua in a Sadistic way. Money ner zao.
 
Imagine wewe hauna hatia,umetekwa na magaidi umepelekwa kwenye kambi zao ukafundishwa ugaidi ukikataa uuawe,unatumwa mission kufanya ugaidi bahati mbaya unakamatwa unahukumiwa kunyongwa, hapo utajisikia vipi?
Adhabu hiyo inakuhusu tu maadamu umefanya ugaidi!!
 
Hii ni hatua nzuri kwa Israel ikumbukwe hapo awali Israel ilikuwa haiwanyongi magaidi badala yake walikuwa wanafungwa tu vifungo virefu kitu ambao magaidi hao walikuwa wanakifurahia.
Acha uongo we la saba!! Unajua wapalestina wafungwa almost 100 wameuwawa gerezani?

At least 94 Palestinians died in Israeli prisons in two years, human rights group says

Nje ya kuwaua tu huwa wanawaingilia kinyume na maumbile kama adhabu.
Palestinians tell BBC they were sexually abused in Israeli prisons

Kwahiyo ni kweli kwamba ilikua "hainyongi" maana ilikua inawaua humo humo gerezani baada ya kuwaingilia!!

Cha ajabu nchi inayoitwa taifa teule ndio inapenda kugeuza wanaume!!
 
Nchi za kiarabu wanaponyonga watu hata kusema Neno moja tu hakuna Juzi tu watawala wa Iran Wamenyonga waandamanaji lakini hamkusema Neno
Hii uliza wamarekani walio wanafiki, Saudi Arabia inachinja na hamna demokrasia ila wanamuona mshirika, Syria inaongozwa na mwenyekiti wa Al Qaeda anayechinja wakristo ila ni halali na sio gaidi. Ila Iran ndio wanaopaswa kupinduliwa!!

Acheni unafiki nyie wazayuni. Uzuri dunia imewakataa na umeona juzi wamezomewa kwenye winter Olympics.
 
Sijui kwanini watu wana symphatize na hao magaidi ila wale watu wana Roho ya kinyama sana. Hata mimi ningekuwa huko Israel ningejitolea kama mfanyakazi maalum wa kufanya execution za hao terrorists. Tena nilivyo na fantasy za ajabu nammwaga ubongo mmoja wao halafu halafu nawaambia magaidi wengine waule na kulamba damu yote chini hadi floor iwe safi👹👹😛😛.. Yaani hao magaidi ningewaua in a Sadistic way. Money ner zao.
Kwani gaidi ni nani? Maana huwa sielewi. Mfano RSF wa Sudan wanapewa silaha na Israel je ni magaidi au sio magaidi?? Au ni mpaka uiguse Israel ndio unahesabika gaidi?
 
Back
Top Bottom