Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
- Thread starter
- #21
Harafu wewe unajidai msomi!! Mtu kahukumiwa kifungo kirefu gerezani wewe ulitaka afie uraiani? Au mtu kafungwa maisha unataka akafie uraiani na akifia gerezani wewe unabwabwaja!!Acha uongo we la saba!! Unajua wapalestina wafungwa almost 100 wameuwawa gerezani?
At least 94 Palestinians died in Israeli prisons in two years, human rights group says
Hapo mwanzo Israel ilikuwa magaidi inawafunga tu lakini sasa cha moto watakipata.
Israel inaanza na walioshiriki mauaji ya Oct 07,2023 na wazamani watafuatia!!
Zoezi hilo ni endelevu mpaka magaidi wote waishe kabisa kunyongwa!!!!