Kitendo cha kufundishwa (radicalization) tayali umeingia kwenye hatiaImagine wewe hauna hatia,umetekwa na magaidi umepelekwa kwenye kambi zao ukafundishwa ugaidi ukikataa uuawe,unatumwa mission kufanya ugaidi bahati mbaya unakamatwa unahukumiwa kunyongwa, hapo utajisikiaje?
Huduma ya Magereza ya Israeli imeanza maandalizi ya vifaa na uendeshaji kwa ajili ya utekelezaji wa hukumu ya kuwanyonga mpaka kifo magaidi inayowezekana kufuatia kusomwa kwa muswada wa kwanza wa Knesset unaoidhinisha adhabu ya kunyongwa mpaka kifo kwa magaidi katika kesi za ugaidi. Maandalizi ni pamoja na mipango ya shirika, mafunzo ya wafanyakazi wanyongaji na uwezekano wa kuanzishwa kwa kituo maalum cha utekelezaji ndani ya mfumo wa magereza.
Kulingana na ripoti, utekelezaji wa hukumu hizo utafanywa kwa kunyongwa kwa kamba wakati magaidi wengine wakishuhudia, ukihusisha maafisa watatu wa gereza waliofunzwa kwa hiari kwa ajili ya kazi hiyo. Chini ya sheria iliyopendekezwa, hukumu hizo zinaweza kutekelezwa ndani ya siku 90 baada ya uamuzi wa mwisho, ambao awali uliwahusu wanachama wa Hamas Nukhba waliohusika katika mauaji ya Oktoba 7, na uwezekano wa kupanuliwa kwa magaidi wengine waliohukumiwa baadaye ambao nao watanyongwa mpaka kufa.
Hii ni hatua nzuri kwa Israel ikumbukwe hapo awali Israel ilikuwa haiwanyongi magaidi badala yake walikuwa wanafungwa tu vifungo virefu kitu ambao magaidi hao walikuwa wanakifurahia.
Kwa sasa adhabu hii itakuwa nzuri sana kwao!!!
View attachment 3541944
Biblia inafundisha kuhusu haki na huruma, si masharti ya binadamu ya kutesa wengine. Yesu alisema:
Ujinga na Upumbavu ndiyo unawasumbua!!! Nchi za kiarabu wanaponyonga watu hata kusema Neno moja tu hakuna Juzi tu watawala wa Iran Wamenyonga waandamanaji lakini hamkusema Neno leo hii Israel imeamua kunyonga Magaidi wote walioshiriki mauaji ya Oct 07,2023 tayari mmepanua midomo yenu na kuanza kukariri maandiko utafikiri Wayahudi wanamjua huyo Yesu wako!!! Wayahudi hawana Biblia wao wana TanakMathayo 5:7 โWenye huruma watabarikiwa, maana wao watapata huruma.โ
Mathayo 5:44 โLakini mimi nawambia: Mpende adui zenu, na mliombe wale wanaowadhalilisha.โ
Wagalatia 6:7 โMtu hawezi kumdanganya Mungu; kile mtu anavyopanda, yeye pia ndicho atakavyovuna.โ
Hii inaonyesha Biblia inahimiza huruma, si kutesa kwa uhasama.
Kinyume na kejeli yako, kudhalilisha au kunyonga wanyama wengine haifai kwa mwanga wa Biblia.
Haki ya kweli ni ile inayopatikana kwa Mungu, si mikono ya mwanadamu.
Ujinga na Upumbavu ndiyo unawasumbua!!! Nchi za kiarabu wanaponyonga watu hata kusema Neno moja tu hakuna Juzi tu watawala wa Iran Wamenyonga waandamanaji lakini hamkusema Neno leo hii Israel imeamua kunyonga Magaidi wote walioshiriki mauaji ya Oct 07,2023 tayari mmepanua midomo yenu na kuanza kukariri maandiko utafikiri Wayahudi wanamjua huyo Yesu wako!!! Wayahudi hawana Biblia wao wana Tanak
Hata kama wangekuwa wanatumia Biblia kwa Magaidi kunyongwa ilikuwa halali Yao kabisa wangenyongwa tu bila huruma.
Magaidi hao walikuwa wanajua minis ha sana kwa sababu Israel ilikuwa hawa nyingi watu walikuwa wanaunga tu hivyo walikuwa wanafurahia kufanya Ugaidi kwa wana wa Israel,. Lakini baada ya kubadirisha sheria na kuwapangia adhabu ya Kifo kwa yeyote anayefanya Ugaidi au kuua mtu lazima anyongwe hadharani na wahalifu na ndugu zake wakishuhudia akiningโinizwa kwenye Kamba sasa hivi nawaona wameanza kutoa milio!!!!
Naona mmeanza kutoa Milio!!!!Matusi hayabadili dhulma kuwa haki.
Katika Uislamu, kuua bila hukumu ya haki ni haramu, hata kwa adui. โMsije mkachukia watu ukakufanya muache uadilifu.โ (Qurโan 5:8)
Tanakh yenu inasema: Msimuue asiye na hatia.โ (Kutoka 23:7)
Sheria kali, hasira au shangwe ya kunyonga havigeuzi dhulma kuwa haki.
Kama haki inalindwa kwa kuua bila mipaka, basi hiyo si haki ya Mungu, ni kisasi cha mwanadamu.
Hasira ya mwanadamu haitendi haki ya Mungu.โ (Yakobo 1:20)
Haki hubaki haki, dhulma hubaki dhulma โ bila kujali nani anafanya.
Adhabu hiyo inakuhusu tu maadamu umefanya ugaidi!!Imagine wewe hauna hatia,umetekwa na magaidi umepelekwa kwenye kambi zao ukafundishwa ugaidi ukikataa uuawe,unatumwa mission kufanya ugaidi bahati mbaya unakamatwa unahukumiwa kunyongwa, hapo utajisikia vipi?
Wawatie hadi masikioni mer mer mae๐๐๐Israel pelekea moto magaidi yote
Acha uongo we la saba!! Unajua wapalestina wafungwa almost 100 wameuwawa gerezani?Hii ni hatua nzuri kwa Israel ikumbukwe hapo awali Israel ilikuwa haiwanyongi magaidi badala yake walikuwa wanafungwa tu vifungo virefu kitu ambao magaidi hao walikuwa wanakifurahia.
Hii uliza wamarekani walio wanafiki, Saudi Arabia inachinja na hamna demokrasia ila wanamuona mshirika, Syria inaongozwa na mwenyekiti wa Al Qaeda anayechinja wakristo ila ni halali na sio gaidi. Ila Iran ndio wanaopaswa kupinduliwa!!Nchi za kiarabu wanaponyonga watu hata kusema Neno moja tu hakuna Juzi tu watawala wa Iran Wamenyonga waandamanaji lakini hamkusema Neno
Kwani gaidi ni nani? Maana huwa sielewi. Mfano RSF wa Sudan wanapewa silaha na Israel je ni magaidi au sio magaidi?? Au ni mpaka uiguse Israel ndio unahesabika gaidi?Sijui kwanini watu wana symphatize na hao magaidi ila wale watu wana Roho ya kinyama sana. Hata mimi ningekuwa huko Israel ningejitolea kama mfanyakazi maalum wa kufanya execution za hao terrorists. Tena nilivyo na fantasy za ajabu nammwaga ubongo mmoja wao halafu halafu nawaambia magaidi wengine waule na kulamba damu yote chini hadi floor iwe safi๐น๐น๐๐.. Yaani hao magaidi ningewaua in a Sadistic way. Money ner zao.
ukikataa cha mtema kuni unakiona. Mbona m23 wanafanya hivyo? Wanateka vijana wanawalazimisha kujiunga.Kitendo cha kufundishwa (radicalization) tayali umeingia kwenye hatia