Kiapo Bunge la katiba Kimeshaua ndoto ya serikali tatu

Kiapo Bunge la katiba Kimeshaua ndoto ya serikali tatu

kingukitano

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
1,971
Reaction score
497
Kwa mujibu wa kiapo cha kukiri kuwa mwaminifu kwa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania,kuitii jamhuri ni kutii aina ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,

Warioba kafie mbele na shirikisho lako

Kidumu chama cha Hayati Nyerere (ccm)
Udumu Muungano wa serikali mbili.

CCM hoyeee,

Ukitukana rekodi zako zitaandikwa na malaika epuka matusi.
 
Unajua kwa nn nasema hvyo,hao wengi wao kiapo wanakipuuza,wanasema ntakuwa mwaminifu kwa serikali na wananchi kumbe wao ndio wezi wakubwa
 
Hakuna Muungano mkuu,soma katiba mpya ya Zanzibar,
Kuapa ni formality tuu
Hata umemsikia mwenyekiti kuwa maamuzi ya msingi yatafikiwa kwa kura ya siri?
Ni vizuri kumpamba marehemu pamoja na maovu yake kwasababu ameshakufa,
kwa msingi huo nami nasema ccm hoyee!
 
Hakuna anaeukataa muungano... Labda Maalim Sefu anaetaka kuturudishia utumwa wa kiarabu!
 
Hakuna Muungano mkuu,soma katiba mpya ya Zanzibar,
Kuapa ni formality tuu
Hata umemsikia mwenyekiti kuwa maamuzi ya msingi yatafikiwa kwa kura ya siri?
Ni vizuri kumpamba marehemu pamoja na maovu yake kwasababu ameshakufa,
kwa msingi huo nami nasema ccm hoyee!

Hahhahhahaha,
 
Hawa wanaosema kuwa serikali tatu ni kuvunja muungano wanamatatizo!!!!!
 
Kwa mujibu wa kiapo cha kukiri kuwa mwaminifu kwa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania,kuitii jamhuri ni kutii aina ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,

Warioba kafie mbele na shirikisho lako

Kidumu chama cha Hayati Nyerere (ccm)
Udumu Muungano wa serikali mbili.

CCM hoyeee,

Ukitukana rekodi zako zitaandikwa na malaika epuka matusi.

Udumu muungano wa serikali 2, nani kakwambia muundo wa serikali 3 hauna sura ya Muungano? Mnatia huruma kufunika kombe mwanaharamu apite.mtalia sana mwaka huu lakini wananchi ni wengi sana zaidi ya wanachama wa ccm.fanyeni mchezo na 2015 hiyo mtakiona cha moto
 
Nyambafu huku kijijini hitaji lao ni dawa,maji,bei nzuri ya pamba,korosho..,ajira nk...hizi serikali tatu ni tamaa ya madaraka kwa politician
 
Ngoja wapemba wakutie mkononi uone adhabu utapokea SIFI we!
 
Ni lazima waape hivyo kwani sasa hivi Serikali ya JMT ndio ipo, we ulitaka waape watakuwa watiifu kwa serikali ya Tanganyika wakati bado haipo?

Itakuja tu next time wataapa hivyo it's just a matter of time!
 
Nasishi KASULU sijawahi kunufaika na huo muungano!
 
Back
Top Bottom