ulirckymtang'ase
Member
- Mar 2, 2014
- 60
- 3
Ww huna akili ww mtoa mada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyambafu huku kijijini hitaji lao ni dawa,maji,bei nzuri ya pamba,korosho..,ajira nk...hizi serikali tatu ni tamaa ya madaraka kwa politician
Ni lazima waape hivyo kwani sasa hivi Serikali ya JMT ndio ipo, we ulitaka waape watakuwa watiifu kwa serikali ya Tanganyika wakati bado haipo?
Itakuja tu next time wataapa hivyo it's just a matter of time!
kingukitano siku zote watu huwa wanaapa wakiamini kuwa watadumisha viapo vyao lakini kwa wengi huwa sio hivyo, maana mtu anapo apa huwa wanakuwa watu wawili katika yeye yaani anakuwa yeye wa sasahivi na yeye wa baadae na wengi huwa wanadhani na baadae itakuwa kama leo kitu ambacho kinaweza kuwa sio kweli, kwa hiyo tusubiri mjadala kwani kwa sasa kilichowakutanisha ni jamuhuri
Kiongozi hapo umenena.lakini majibu ya hayo mahitaji yote yamo ndani ya serikali 3 kiongozi kwani muundo wa sasa ni gharama mno.tunalipa pesa nyingi kwa wabunge toka za Zanzibar kwa kazi gani kwenye bunge letu?
Kwenye swala la tamaa ya madaraka kwa wanasiasa kwenye muundo wa serikali 3 si hoja.ngoja nikwambie,kwenye huu muundo wa serikali 2 waziri wa afya kwao Zanzibar hivi anamuwakilisha nani bara aliyemchagua mpaka apewe uwaziri kwa watanganiyika? Ndo maana nasema serikali mbili inatufichia maendelea siku ikutoka huko ccm utasema ukweli najua unapata posho hapo lumumba
Kwa mujibu wa kiapo cha kukiri kuwa mwaminifu kwa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania,kuitii jamhuri ni kutii aina ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,
Warioba kafie mbele na shirikisho lako
Kidumu chama cha Hayati Nyerere (ccm)
Udumu Muungano wa serikali mbili.
CCM hoyeee,
Ukitukana rekodi zako zitaandikwa na malaika epuka matusi.
Ww huna akili ww mtoa mada
Kaka mzee huyu ni mwongo,how can you jusfify Muungano wa serikali tatu kwa maoni ya wstanzania 27 elfu,Anazeeka vibaya
Kiapo kile hakivunji serikali tatu hata kidogo. Utaona!!Kwa mujibu wa kiapo cha kukiri kuwa mwaminifu kwa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania,kuitii jamhuri ni kutii aina ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,
Warioba kafie mbele na shirikisho lako
Kidumu chama cha Hayati Nyerere (ccm)
Udumu Muungano wa serikali mbili.
CCM hoyeee,
Ukitukana rekodi zako zitaandikwa na malaika epuka matusi.
Kaka mzee huyu ni mwongo,how can you jusfify Muungano wa serikali tatu kwa maoni ya wstanzania 27 elfu,Anazeeka vibaya
Kwa mujibu wa kiapo cha kukiri kuwa mwaminifu kwa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania,kuitii jamhuri ni kutii aina ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,
Warioba kafie mbele na shirikisho lako
Kidumu chama cha Hayati Nyerere (ccm)
Udumu Muungano wa serikali mbili.
CCM hoyeee,
Ukitukana rekodi zako zitaandikwa na malaika epuka matusi.
Kaka Listener sijawahukumu nimetahadharisha matusi kwani ni Machukizo kwa BwanaNaona umekuwa too defencive kwa kuwa unajua kabisa huna uhakika na ishu unayoleta. Mbaya zaidi umeshawahukumu wachangiaji. U r not fair aisee
Kaka mzee huyu ni mwongo,how can you jusfify Muungano wa serikali tatu kwa maoni ya wstanzania 27 elfu,Anazeeka vibaya