Kiapo Bunge la katiba Kimeshaua ndoto ya serikali tatu

Najua Mtikila atakivunja tu kiapo hicho.........Kiapo kitu gani watu wanaapa mbale ya kanisa wakijua Mungu yupo kuwa kifo ndicho kitawatenganisha na wanaachana iwe kiapo kilichotungwa na wanadamu?

Mtikila kaapa kuilinda serikali ya Muungano
 
Kwa mujibu wa kiapo cha kukiri kuwa mwaminifu kwa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania,kuitii jamhuri ni kutii aina ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,

Warioba kafie mbele na shirikisho lako

Kidumu chama cha Hayati Nyerere (ccm)
Udumu Muungano wa serikali mbili.

CCM hoyeee,

Ukitukana rekodi zako zitaandikwa na malaika epuka matusi.

matatizo ya kumeza maelezo unayopewa na viongozi wako mf OLE....... bila ya ya kuyatafakari kwa kina?!!
 
Hakuna anaeukataa muungano... Labda Maalim Sefu anaetaka kuturudishia utumwa wa kiarabu!

Katika mjadala huu wa ama serikali mbili au tatu kuna mambo muhimu na ya msingi ambayo watu wengi wanaogopa kuyazungumza kwa uwazi!! Kule visiwani wananchi wengi wenye asili ya kiarabu ndio wanaopigia debe muundo wa serikali tatu implying sovereignity ya Zanzibar; wananchi ambao hawana asili ya uarabu wao wanashabikia kuwa na muungano wa serikali mbili kwani unawaweka karibu na wananchi wa bara na wanaogopa kuwa kama muungano utateteleka kwa namna yeyote ile hiyo itawapa fursa waarabu hasa wa Oman kurudi na kuwa na sauti kubwa katika kutawala hivyo visiwa!!. Hofu ya waarabu kurudi ni real kwani wameonesha nia hiyo kwa jinsi wanavyowafadhili wanasiasa wenye mlengo wa serikali tatu!!
 
Hongera sana Bulesi,Very well explained
 
Udhaifu unasababishwa na huo mfumo wa sasa kaka ndio maana jaji amekuja na huo muundo wewe mwenyewe unalijua hilo ila naamini hutomwangusha jaji
 
kama kweli hakujali ubinafsi angependekeza serikali,mojA,kaka,Nyambafu
 
Japo sikubaliani na Muungano wa Serikali Mbili Lakini ulichokiandika kimetoka kwenye fikra pevu.
 
Kingukitano: mpango wa mwl.nyerere ilikuwa ni serikali moja ndiyo maana aliificha Tanganyika ndani ya muungano ili wazanzibari wakomae kifikia kukubari kuwa nchi moja.mpaka mwl.kabla mwl.hajatutoka alikwisha jionea mwenyewe zile nyufa.mbaya zaidi Zanzibar wanakatiba yao ya mwaka 2010 anasema hivi, Zanzibar ni nchi hapo unasemaje? Hiyo serikali moja unaipataje?
 
Kwa mujibu wa kiapo cha kukiri kuwa mwaminifu kwa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania,kuitii jamhuri ni kutii aina ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,

Warioba kafie mbele na shirikisho lako

Kidumu chama cha Hayati Nyerere (ccm)
Udumu Muungano wa serikali mbili.

CCM hoyeee,

Ukitukana rekodi zako zitaandikwa na malaika epuka matusi.

mkuu jaribu kushirikisha ubongo wako. Wewe unavyoona kwa sasa nchi inaongozwa na katiba ipi? Labda kwa kukusaidi kidogo ni kwamba: kwa sasa tunaongozwa na katiba ya zamani na wala si rasmu ya mh. Jaji warioba. Kwaiyo sasa lazima shughuli za kibunge maalumu liongozwe kwa kutumia katiba ya zamaini ambayo inatambua uwepo wa serikali 3. Kwahiyo usilete ushabiki wa kijinga na kuwapotosha watanzania kutokana na ukakasi ktk kutambua mambo. N:B Rasimu ya warioba aijawa bado sheria ama katiba iliyowekewa ulinzi katika kuitumia ila yale ni mapendekezo ya wananchi waliyo ya toa.
 
Kwani nini tatizo la kiapo hicho? Wenye hoja za serikali tatu wamesema kuuvunja mhungano? Ina maana wabunge walioapa kuilinda katiba ya zanzibar yenye viashiria vya kuuvunja mhungano wamechukuliwa hatau gani?
 
Katika mjadala huu wa ama serikali mbili au tatu kuna mambo muhimu na ya msingi ambayo watu wengi wanaogopa kuyazungumza kwa uwazi!! Kule visiwani wananchi wengi wenye asili ya kiarabu ndio wanaopigia debe muundo wa serikali tatu implying sovereignity ya Zanzibar; wananchi ambao hawana asili ya uarabu wao wanashabikia kuwa na muungano wa serikali mbili kwani unawaweka karibu na wananchi wa bara na wanaogopa kuwa kama muungano utateteleka kwa namna yeyote ile hiyo itawapa fursa waarabu hasa wa Oman kurudi na kuwa na sauti kubwa katika kutawala hivyo visiwa!!. Hofu ya waarabu kurudi ni real kwani wameonesha nia hiyo kwa jinsi wanavyowafadhili wanasiasa wenye mlengo wa serikali tatu!!

dr salim nae yuko upande upi? namkubali sana huyu mzee.
 
Wanaounga serikali 2 watoe hoja za msingi tuzipime sio kubwabwaja tuu eti ( serikali tatu haiwezekani) , kwani kuapa kuilinda na kuitetea muungano kuna maana ya serikali 2 ?
 
N
Kingukitano: mpango wa mwl.nyerere ilikuwa ni serikali moja ndiyo maana aliificha Tanganyika ndani ya muungano ili wazanzibari wakomae kifikia kukubari kuwa nchi moja.mpaka mwl.kabla mwl.hajatutoka alikwisha jionea mwenyewe zile nyufa.mbaya zaidi Zanzibar wanakatiba yao ya mwaka 2010 anasema hivi, Zanzibar ni nchi hapo unasemaje? Hiyo serikali moja unaipataje?

Nakuunga mkono Nyambafu,Zanzibar walifanya kosa kubwa sana but bado haijustfy kuweka 3 government
 
Kwa mujibu wa kiapo cha kukiri kuwa mwaminifu kwa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania,kuitii jamhuri ni kutii aina ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,

Warioba kafie mbele na shirikisho lako

Kidumu chama cha Hayati Nyerere (ccm)
Udumu Muungano wa serikali mbili.

CCM hoyeee,

Ukitukana rekodi zako zitaandikwa na malaika epuka matusi.
Hapo penye red,tayari umeishatukana na rekodi yako imeandikwa na malaika tayari
Hivi nyie ninyim nani kawaloga mnajikanyaga wenyewe,
utabiri wa askofu kakobe unawaandama hadi uwapate.
 
Back
Top Bottom