Kiapo Bunge la katiba Kimeshaua ndoto ya serikali tatu

Ndio una GPA zaidi ya 4.5 ila huna busara rubbish weye, mwanaharamu kwa taifa hili

Busara gani we mnywa Gongo,,hii ya kuendeleza gongo? Kwa hiyo umefuta upumbafu wako kuwa darasani mie mkali,,ila nakosa hekima,mimi nahekimishwa na Mungu,for the fear of the Lord is the genesis of Wisdom,,.the mind should be free of Gongo to be inspired by Yahwes Wisdom..umenisoma Bhavicha?
 
Serikali 1 ndiyo mpango sawa sawia. Zanzibar iwe Mkoa, fullstop.
Jee, mtawaweza wazenji ktk hiloo??
 
Busara gani we mnywa Gongo,,hii ya kuendeleza gongo? Kwa hiyo umefuta upumbafu wako kuwa darasani mie mkali,,ila nakosa hekima,mimi nahekimishwa na Mungu,for the fear of the Lord is the genesis of Wisdom,,.the mind should be free of Gongo to be inspired by Yahwes Wisdom..umenisoma Bhavicha?
We unaumwa sana you have wisdom from devil or secrete society like Freemason
 
Kenwood serikali moja mie pie sina shida nayo kaka ila tatu ni upuuzi

Hata 2 hazina maana, unaonaje Shein akiwa mkuu wa Mkoa,Maalim Seif na Karume wakawa wakuu wa Wilaya(Pemba& Unguja)??
Kwi kwi kwi!! Hala hala Wazenji msije mkaniFUnja MbaFU.
 
We unaumwa sana you have wisdom from devil or secrete society like Freemason

ur stupid comrade,you were supposed to Urgue the topic.,not to attack the author,.sasa ukiambiwa umevurugwa utakua unaonewa?
 
Hata 2 hazina maana, unaonaje Shein akiwa mkuu wa Mkoa,Maalim Seif na Karume wakawa wakuu wa Wilaya(Pemba& Unguja)??
Kwi kwi kwi!! Hala hala Wazenji msije mkaniFUnja MbaFU.

hahahahahahaha,,,kaka wasitusikie wenyewe
 
Hakuna anaeukataa muungano... Labda Maalim Sefu anaetaka kuturudishia utumwa wa kiarabu!
''Pilipili usoila inakuwashia nini''? Utumwa na Uarabu ukirudi utarudi Zanzibar na siyo Tanganyika.,
 
Kwa mujibu wa kiapo cha kukiri kuwa mwaminifu kwa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania,kuitii jamhuri ni kutii aina ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,

Warioba kafie mbele na shirikisho lako

Kidumu chama cha Hayati Nyerere (ccm)
Udumu Muungano wa serikali mbili.

CCM hoyeee,

Ukitukana rekodi zako zitaandikwa na malaika epuka matusi.
Mkuu kama kiapo kingekuwa kinasaidia mafisadi wasingekuwepo!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
kwani zikiwepo serikali tatu muungano hautakuwepo? hiyo ya muungano itaitwaje au tume ya warioba imeipa jina gani kaka?
kwani zikiwepo serikali tatu ndo muumgano haupo na huyo rais wa muungano atakuwa anaongoza serikali gani?
ebu soma vizuri muundo wa serikali ya shirikisho then utapata jibu sahihi na utagundua kuwa kiapo hicho ni sahihi kabisa kwani hata bunge lenyewe ni la muumgano si la zanzibar wala tanganyika.
 
Mkuu Koloba,,Kitenndo cha kuapa kuwa mtiifu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni heshima kwa Muundo wa Muungano,,
 
kwani zikiwepo serikali tatu muungano hautakuwepo? hiyo ya muungano itaitwaje au tume ya warioba imeipa jina gani kaka?
kwani zikiwepo serikali tatu ndo muumgano haupo na huyo rais wa muungano atakuwa anaongoza serikali gani?
ebu soma vizuri muundo wa serikali ya shirikisho then utapata jibu sahihi na utagundua kuwa kiapo hicho ni sahihi kabisa kwani hata bunge lenyewe ni la muumgano si la zanzibar wala tanganyika.

Mtakatifu Mam tuwe wa kweli katika mapendekezo ya Warioba hivi Rais wa Muungano atakua na kazi gani?mimi Muundo wa Muungano nimeusoma vema warioba alikurupuka,,,,kama ni Tanganyika hata asili ya jina mwalimu alisema halijui tulipewa na wakoloni...hivi Tanganyika ikija walimu watalipwa vema?vijijini maji,yatakuja?bei ya pamba itapanda?
 
Back
Top Bottom