kingukitano
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 1,971
- 497
Na mafisadi wote wadumu
Unajua kwa nn nasema hvyo,hao wengi wao kiapo wanakipuuza,wanasema ntakuwa mwaminifu kwa serikali na wananchi kumbe wao ndio wezi wakubwa
Hakuna Muungano mkuu,soma katiba mpya ya Zanzibar,
Kuapa ni formality tuu
Hata umemsikia mwenyekiti kuwa maamuzi ya msingi yatafikiwa kwa kura ya siri?
Ni vizuri kumpamba marehemu pamoja na maovu yake kwasababu ameshakufa,
kwa msingi huo nami nasema ccm hoyee!
Hakuna anaeukataa muungano... Labda Maalim Sefu anaetaka kuturudishia utumwa wa kiarabu!
mlindie heshima yake Jaji Warioba
Kwa mujibu wa kiapo cha kukiri kuwa mwaminifu kwa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania,kuitii jamhuri ni kutii aina ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,
Warioba kafie mbele na shirikisho lako
Kidumu chama cha Hayati Nyerere (ccm)
Udumu Muungano wa serikali mbili.
CCM hoyeee,
Ukitukana rekodi zako zitaandikwa na malaika epuka matusi.
Udumu muungano wa serikali 2, nani kakwambia muundo wa serikali 3 hauna sura ya Muungano? Mnatia huruma kufunika kombe mwanaharamu apite.mtalia sana mwaka huu lakini wananchi ni wengi sana zaidi ya wanachama wa ccm.fanyeni mchezo na 2015 hiyo mtakiona cha moto
Subiri Dawa Vucheche nyie...