Qashy Lilith
JF-Expert Member
- Aug 30, 2024
- 1,508
- 2,965
- Thread starter
- #41
SawaCCM INAWAPUMBAVU WENGI SANA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaCCM INAWAPUMBAVU WENGI SANA
Chai ya baridi sasa ndio hiiMiezi.kadhaa mwanaume niliyekuwa naye kwenye mahusiano alitoa wazo la kula kiapo cha damu na tuliridhia kweli tulipima kwanza ukimwi alhamdullilah wote tulikuwa negative na kiapo tulikula.
Kama kawaida wote tulitaja consequences za ikitokea mmoja kavunja kiapo ...yeye alisema haya maneno:
"Nikicheat au nikimuacha""(NIwe nateseka kwenye mapenzi .....niwe wa kulia lia na kuachwa ....nisidumu katika ndoa yyt.....maisha yangu yote nimuone yeye ...nikilala na mkaka mwingine niwe kichaa...atakae nioa afe)
Na Mimi consequences nilisema ila sizikumbuki baada ya kudumu miezi 6 tuliachana sababu ya jambo Fulani ila sitaliweka hadharani mtanisamehe.
Na tuliachana ...kiapo hajawai kutaka kuvunja huyo mkaka Kila nkimuambia ananigeuka hajala na Mimi kiapo Mimi kadri navyojaribu kumove on nashindwa sijwahi kujihusisha kimapenzi mwanaume mwingine maana naogopa kuwa kichaa na kufa kwa pamoja kutokana consequences za kiapo.
Naomba mnisaidie ....nimeona Bora kushare na nyie humu ndugu zangu ntakuwa nimetatua nusu ya tatizo ..
Maana mtandoni nimeperuzi naona consequences hutokea Sasa nashindwa kama ni kweli au la... au kuna mmoja aliwai.kuwa victim aniambie.
Asanteni..
Mimi wa kike ye kiumeWewe ni mwanaume au mwanamke?
Huyo mpenzi wako alisema............ akijihusisha na mkaka mwimgine awe kichaa na atakayemuoa afe...... Hiyi maana yake huyo mpenzi wako ni mwanamke
Wewe unasema,......... hujajihusisha na mwanaume mwingine unaogopa kuwa kichaa......... Hiyo ina maana na wewe ni mwanamke
Kwahiyo nyie wote ni wanawake?
Jamaa katunga scrip imeungua CDWewe ni mwanaume au mwanamke?
Huyo mpenzi wako alisema............ akijihusisha na mkaka mwimgine awe kichaa na atakayemuoa afe...... Hiyi maana yake huyo mpenzi wako ni mwanamke
Wewe unasema,......... hujajihusisha na mwanaume mwingine unaogopa kuwa kichaa......... Hiyo ina maana na wewe ni mwanamke
Kwahiyo nyie wote ni wanawake?
Ukiamini basi utapata unayoyaamini. watu wanakula viapo wameshika misahafu halafu viapo wanavivunja na hakuna kinachotokea.Miezi.kadhaa mwanaume niliyekuwa naye kwenye mahusiano alitoa wazo la kula kiapo cha damu na tuliridhia kweli tulipima kwanza ukimwi alhamdullilah wote tulikuwa negative na kiapo tulikula.
Kama kawaida wote tulitaja consequences za ikitokea mmoja kavunja kiapo ...yeye alisema haya maneno:
"Nikicheat au nikimuacha""(NIwe nateseka kwenye mapenzi .....niwe wa kulia lia na kuachwa ....nisidumu katika ndoa yyt.....maisha yangu yote nimuone yeye ...nikilala na mkaka mwingine niwe kichaa...atakae nioa afe)
Na Mimi consequences nilisema ila sizikumbuki baada ya kudumu miezi 6 tuliachana sababu ya jambo Fulani ila sitaliweka hadharani mtanisamehe.
Na tuliachana ...kiapo hajawai kutaka kuvunja huyo mkaka Kila nkimuambia ananigeuka hajala na Mimi kiapo Mimi kadri navyojaribu kumove on nashindwa sijwahi kujihusisha kimapenzi mwanaume mwingine maana naogopa kuwa kichaa na kufa kwa pamoja kutokana consequences za kiapo.
Naomba mnisaidie ....nimeona Bora kushare na nyie humu ndugu zangu ntakuwa nimetatua nusu ya tatizo ..
Maana mtandoni nimeperuzi naona consequences hutokea Sasa nashindwa kama ni kweli au la... au kuna mmoja aliwai.kuwa victim aniambie.
Asanteni..
HakikaUliyatimba
Finally Decoded..Wewe ni mwanaume au mwanamke?
Huyo mpenzi wako alisema............ akijihusisha na mkaka mwimgine awe kichaa na atakayemuoa afe...... Hiyi maana yake huyo mpenzi wako ni mwanamke
Wewe unasema,......... hujajihusisha na mwanaume mwingine unaogopa kuwa kichaa......... Hiyo ina maana na wewe ni mwanamke
Kwahiyo nyie wote ni wanawake?
Sasa unajua yangu inahusisha damu na damu ni.kitu cha kuogopaUkiamini basi utapata unayoyaamini. watu wanakula viapo wameshika misahafu halafu viapo wanavivunja na hakuna kinachotokea.
Elezea hicho kiapo mlikula wapi na ukafanya nini ukavunja agano? Mnacheza na vifungo? Usije ukajaribu siku nyingine na asikuongopew mtu kwamba haipo ukianza kuwehuka hatokuwepo kukusaidia, cha kukusaidia mtafute aliewafunga umwambie ajue jinsi ya kuwafungua kinyume na hapo umenasa pabaya, najua hapo unapoficha sababu ni kuliwa na lijamaa lingine jamaa akakubwaga mazima huku ukiwa umefungwa yeye akateembea zake na kwenda kujitoa minyororoImani yangu ipo chini
Typing errorFinally Decoded..
Damu za wapi? Mlichanjana kwenye sehemu za siri?Sasa unajua yangu inahusisha damu na damu ni.kitu cha kuogopa
Mfano mzuri ni Viongozi wa FISIEMUkiamini basi utapata unayoyaamini. watu wanakula viapo wameshika misahafu halafu viapo wanavivunja na hakuna kinachotokea.
Hapana sikucheat walaElezea hicho kiapo mlikula wapi na ukafanya nini ukavunja agano? Mnacheza na vifungo? Usije ukajaribu siku nyingine na asikuongopew mtu kwamba haipo ukianza kuwehuka hatokuwepo kukusaidia, cha kukusaidia mtafute aliewafunga umwambie ajue jinsi ya kuwafungua kinyume na hapo umenasa pabaya, najua hapo unapoficha sababu ni kuliwa na lijamaa lingine jamaa akakubwaga mazima huku ukiwa umefungwa yeye akateembea zake na kwenda kujitoa minyororo
KidoleDamu za wapi? Mlichanjana kwenye sehemu za siri?