Kiapo cha damu nlichokula na boyfriend wangu kinanitafuna aiseee

Miezi.kadhaa mwanaume niliyekuwa naye kwenye mahusiano alitoa wazo la kula kiapo cha damu na tuliridhia kweli tulipima kwanza ukimwi alhamdullilah wote tulikuwa negative na kiapo tulikula.

Kama kawaida wote tulitaja consequences za ikitokea mmoja kavunja kiapo ...yeye alisema haya maneno:
"Nikicheat au nikimuacha""(NIwe nateseka kwenye mapenzi .....niwe wa kulia lia na kuachwa ....nisidumu katika ndoa yyt.....maisha yangu yote nimuone yeye ...nikilala na mkaka mwingine niwe kichaa...atakae nioa afe)

Na Mimi consequences nilisema ila sizikumbuki baada ya kudumu miezi 6 tuliachana sababu ya jambo Fulani ila sitaliweka hadharani mtanisamehe.

Na tuliachana ...kiapo hajawai kutaka kuvunja huyo mkaka Kila nkimuambia ananigeuka hajala na Mimi kiapo Mimi kadri navyojaribu kumove on nashindwa sijwahi kujihusisha kimapenzi mwanaume mwingine maana naogopa kuwa kichaa na kufa kwa pamoja kutokana consequences za kiapo.

Naomba mnisaidie ....nimeona Bora kushare na nyie humu ndugu zangu ntakuwa nimetatua nusu ya tatizo ..

Maana mtandoni nimeperuzi naona consequences hutokea Sasa nashindwa kama ni kweli au la... au kuna mmoja aliwai.kuwa victim aniambie.

Asanteni..
Chai ya baridi sasa ndio hii
 
Wewe ni mwanaume au mwanamke?

Huyo mpenzi wako alisema............ akijihusisha na mkaka mwimgine awe kichaa na atakayemuoa afe...... Hiyi maana yake huyo mpenzi wako ni mwanamke

Wewe unasema,......... hujajihusisha na mwanaume mwingine unaogopa kuwa kichaa......... Hiyo ina maana na wewe ni mwanamke

Kwahiyo nyie wote ni wanawake?
Mimi wa kike ye kiume
 
Jamaa katunga scrip imeungua CD
 
Ukiamini basi utapata unayoyaamini. watu wanakula viapo wameshika misahafu halafu viapo wanavivunja na hakuna kinachotokea.
 
Kuna watu wanakula kiapo kanisani, mbele ya altare, huku wameshika biblia mkononi, kuwa hawatoachana milele lakin baada ya mwaka wanaachana

Sembufe nyie mliolia kiapo gest?
 
Wewe ni mwanaume au mwanamke?

Huyo mpenzi wako alisema............ akijihusisha na mkaka mwimgine awe kichaa na atakayemuoa afe...... Hiyi maana yake huyo mpenzi wako ni mwanamke

Wewe unasema,......... hujajihusisha na mwanaume mwingine unaogopa kuwa kichaa......... Hiyo ina maana na wewe ni mwanamke

Kwahiyo nyie wote ni wanawake?
Finally Decoded..
 
Imani yangu ipo chini
Elezea hicho kiapo mlikula wapi na ukafanya nini ukavunja agano? Mnacheza na vifungo? Usije ukajaribu siku nyingine na asikuongopew mtu kwamba haipo ukianza kuwehuka hatokuwepo kukusaidia, cha kukusaidia mtafute aliewafunga umwambie ajue jinsi ya kuwafungua kinyume na hapo umenasa pabaya, najua hapo unapoficha sababu ni kuliwa na lijamaa lingine jamaa akakubwaga mazima huku ukiwa umefungwa yeye akateembea zake na kwenda kujitoa minyororo
 
Hapana sikucheat wala
 
Back
Top Bottom