Kiapo cha damu nlichokula na boyfriend wangu kinanitafuna aiseee

Sasa unajua yangu inahusisha damu na damu ni.kitu cha kuogopa
Haa watu wanakula kiapo na misahafu wanamtaja Mungu mbele ya madhabahu, halafu wasahau na hakuna kinachotokea. Wewe kitakachokusumbua si kiapo, bali ni kuamini katika kiapo hicho kiasi kwamba ukiwa kwenye mahusiano badala ya kufurahia mahusiano, utakuwa uanawaza kiapo hicho. Kila jaribu likitokea wewe wawaza hicho kiapo.
Tupa kule kiapo and move on. na uache ujinga huo siku nyingine usirudie kula viapo. Bila shaka wewe ni mwanafunzi. Mapenzi ya wanafunzi huwa wanahisi watadumu waonane yani kimovie movie
 
Kuna watu wanakula kiapo kanisani, mbele ya altare, huku wameshika biblia mkononi, kuwa hawatoachana milele lakin baada ya mwaka wanaachana

Sembufe nyie mliolia kiapo gest?
Nlisoma sehemu blood oath is dangerous kuliko kiapo kingine
 
Kiapo chenu kinaleta madhara kwa aliyekivunja yaani kumuacha mwenzake.

Nakushauri kajiunge na shirika la Masista dadaangu.

Imeisha hiyo
 
Wewe ni kichaa sasa uliapa kuwa kichaa wakati tayari ni kichaa maana yake ukivunja icho kiapo utakuwa na AKILI ...KUNA JAMAA MMOJA KICHAA ALIKULA KIAPO NA MTU KUWA AKIENDA TOFAUTI ATAKUWA KICHAAA BASI BAADA YA JAMAA KUPOKEA PESA PAPO HAPO ALIKWENDA TOFAUTI NA KILE KIAPOBASI JAMAA AKAJA KUMUULIZA MBONA UMEKIUKA MASHARITI JAMAA AKASEMA SIJAKIUKA SHARITI LOLOTE SABABU MIMI NI KICHAA KABLA HATA YA KULA KIAPO .. mtu yoyote anaye ingia viapo vya kianithi huyo moja kwa moja ni chizi ...ndiyo wewe hivyo ukivunja hicho kiapo hakuna shida yoyote.
 
Nlisoma sehemu blood oath is dangerous kuliko kiapo kingine
Ukiamini jambo litakupaa. watu wanafanya vodoo za kuchukua udongo mfinyazi wakafinyanga mdoli, wakaweka nywele za sehemu za sili, makwapa na utosini wakanenea maneno na kulizika na bado balaa haliwapati. achana na mawazo hayo ya kifala wewe endelea na maisha yako hakuna kitakachokupata.
 
Wanawake wana upendo wa ajabu, anakumbuka aliyosema mwanaume kla aliyosema yeye hakumbuki.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hii level ya upendo kwa jina jingine inaitwa umbeya na unafiki uliopitiliza
 
Basi Imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo ni bayana ya yasioonekana. Webrania 11.

Sasa ukiamini huenda ikawq hivo. Lah! Usiamini hivo bali kuwa na Imani chanya zaidi.
 
Tulilamba kutoka kwenye kidole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…