Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Mwenyewe tu inatosha kuvunja.Na hataki kuja tuvunje hayo maneno itakuwaje
Simple
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyewe tu inatosha kuvunja.Na hataki kuja tuvunje hayo maneno itakuwaje
Haa watu wanakula kiapo na misahafu wanamtaja Mungu mbele ya madhabahu, halafu wasahau na hakuna kinachotokea. Wewe kitakachokusumbua si kiapo, bali ni kuamini katika kiapo hicho kiasi kwamba ukiwa kwenye mahusiano badala ya kufurahia mahusiano, utakuwa uanawaza kiapo hicho. Kila jaribu likitokea wewe wawaza hicho kiapo.Sasa unajua yangu inahusisha damu na damu ni.kitu cha kuogopa
Nothing like thatTyping error
Nlisoma sehemu blood oath is dangerous kuliko kiapo kingineKuna watu wanakula kiapo kanisani, mbele ya altare, huku wameshika biblia mkononi, kuwa hawatoachana milele lakin baada ya mwaka wanaachana
Sembufe nyie mliolia kiapo gest?
Kiapo chenu kinaleta madhara kwa aliyekivunja yaani kumuacha mwenzake.Miezi.kadhaa mwanaume niliyekuwa naye kwenye mahusiano alitoa wazo la kula kiapo cha damu na tuliridhia kweli tulipima kwanza ukimwi alhamdullilah wote tulikuwa negative na kiapo tulikula.
Kama kawaida wote tulitaja consequences za ikitokea mmoja kavunja kiapo ...yeye alisema haya maneno:
"Nikicheat au nikimuacha""(NIwe nateseka kwenye mapenzi .....niwe wa kulia lia na kuachwa ....nisidumu katika ndoa yyt.....maisha yangu yote nimuone yeye ...nikilala na mkaka mwingine niwe kichaa...atakae nioa afe)
Na Mimi consequences nilisema ila sizikumbuki baada ya kudumu miezi 6 tuliachana sababu ya jambo Fulani ila sitaliweka hadharani mtanisamehe.
Na tuliachana ...kiapo hajawai kutaka kuvunja huyo mkaka Kila nkimuambia ananigeuka hajala na Mimi kiapo Mimi kadri navyojaribu kumove on nashindwa sijwahi kujihusisha kimapenzi mwanaume mwingine maana naogopa kuwa kichaa na kufa kwa pamoja kutokana consequences za kiapo.
Naomba mnisaidie ....nimeona Bora kushare na nyie humu ndugu zangu ntakuwa nimetatua nusu ya tatizo ..
Maana mtandoni nimeperuzi naona consequences hutokea Sasa nashindwa kama ni kweli au la... au kuna mmoja aliwai.kuwa victim aniambie.
Asanteni..
yani wakati naandika nilikuwa nawaza hao hao. Wanavyokula viapo ahalafu wakitoka ahapo wanaenda kutuibia.Mfano mzuri ni Viongozi wa FISIEM
Wewe ni kichaa sasa uliapa kuwa kichaa wakati tayari ni kichaa maana yake ukivunja icho kiapo utakuwa na AKILI ...KUNA JAMAA MMOJA KICHAA ALIKULA KIAPO NA MTU KUWA AKIENDA TOFAUTI ATAKUWA KICHAAA BASI BAADA YA JAMAA KUPOKEA PESA PAPO HAPO ALIKWENDA TOFAUTI NA KILE KIAPOBASI JAMAA AKAJA KUMUULIZA MBONA UMEKIUKA MASHARITI JAMAA AKASEMA SIJAKIUKA SHARITI LOLOTE SABABU MIMI NI KICHAA KABLA HATA YA KULA KIAPO .. mtu yoyote anaye ingia viapo vya kianithi huyo moja kwa moja ni chizi ...ndiyo wewe hivyo ukivunja hicho kiapo hakuna shida yoyote.Sawa
Ukiamini jambo litakupaa. watu wanafanya vodoo za kuchukua udongo mfinyazi wakafinyanga mdoli, wakaweka nywele za sehemu za sili, makwapa na utosini wakanenea maneno na kulizika na bado balaa haliwapati. achana na mawazo hayo ya kifala wewe endelea na maisha yako hakuna kitakachokupata.Nlisoma sehemu blood oath is dangerous kuliko kiapo kingine
Alooh! upoHebu acheni kutishana hayo mambo hayapo ni ujinga tu
ignore kama haujawa kula kiapo , hakuna lolote baya litatokea.Nlisoma sehemu blood oath is dangerous kuliko kiapo kingine
Okay mr detective...I have no time for explaining myself anymoreNothing like that
Basi Imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo ni bayana ya yasioonekana. Webrania 11.Miezi.kadhaa mwanaume niliyekuwa naye kwenye mahusiano alitoa wazo la kula kiapo cha damu na tuliridhia kweli tulipima kwanza ukimwi alhamdullilah wote tulikuwa negative na kiapo tulikula.
Kama kawaida wote tulitaja consequences za ikitokea mmoja kavunja kiapo ...yeye alisema haya maneno:
"Nikicheat au nikimuacha""(NIwe nateseka kwenye mapenzi .....niwe wa kulia lia na kuachwa ....nisidumu katika ndoa yyt.....maisha yangu yote nimuone yeye ...nikilala na mkaka mwingine niwe kichaa...atakae nioa afe)
Na Mimi consequences nilisema ila sizikumbuki baada ya kudumu miezi 6 tuliachana sababu ya jambo Fulani ila sitaliweka hadharani mtanisamehe.
Na tuliachana ...kiapo hajawai kutaka kuvunja huyo mkaka Kila nkimuambia ananigeuka hajala na Mimi kiapo Mimi kadri navyojaribu kumove on nashindwa sijwahi kujihusisha kimapenzi mwanaume mwingine maana naogopa kuwa kichaa na kufa kwa pamoja kutokana consequences za kiapo.
Naomba mnisaidie ....nimeona Bora kushare na nyie humu ndugu zangu ntakuwa nimetatua nusu ya tatizo ..
Maana mtandoni nimeperuzi naona consequences hutokea Sasa nashindwa kama ni kweli au la... au kuna mmoja aliwai.kuwa victim aniambie.
Asanteni..
Tulilamba kutoka kwenye kidoleUmeambiwa kuvunja hayo maneno ni mpaka yeye awepo? Anza wewe either kwa kufunga na kuomba kwa muda utakaojipangia huku ukikana na kukivunja iko kiapo kwa maneno yako amini it will work.
Kwani hizo damu mulikunywa au mlichanganya alafu mkazifukia au vipi ilikuwaje?
Ni kichaa anaye ogopa kuvunja mashariti ili asiwe kichaa....😁😁😁Watu mpo serious na mapenzi kiasi hiki?
Hii mijitu acha kabisa. Ogopa unaenda kwenye uchaguzi unaingia na kura zilizopigwa kabisa kabisayani wakati naandika nilikuwa nawaza hao hao. Wanavyokula viapo ahalafu wakitoka ahapo wanaenda kutuibia.